kwani uongo?mwanasayansi atakuwa bongo bwana!! hata juzi naibu waziri wa afya amewachana maprof ,kuwa inakuwaje wapo tu mbona hata tafiti hawafanyi?!watafanya vipi wakati kila mmoja anategemea teuzi!!!na hiyo yote ni kutokana ni mfumo,uliopo nchini wa kutowathamini na kuwa wezesha nyenzo!!una kuta wadudu wanawasumbua wakulima kwenye mazao hakuna cha wataalam wala nini wa kuwasaidia ,ina bidi watumie njia za asili kutumia jivu??kweli kuwa wana sayansi hapo?hadi ufumbuzi upatikane wa kitaalam tena kwa msaada wa watu wa MERICAN!!wakulima wako hoiukiwa haujasomea hivyo vitu ni halali yako kusema hayo unayoyasema
Uko mbali na sayansi.kwani uongo?mwanasayansi atakuwa bongo bwana!! hata juzi naibu waziri wa afya amewachana maprof ,kuwa inakuwaje wapo tu mbona hata tafiti hawafanyi?!watafanya vipi wakati kila mmoja anategemea teuzi!!!na hiyo yote ni kutokana ni mfumo,uliopo nchini wa kutowathamini na kuwa wezesha nyenzo!!una kuta wadudu wanawasumbua wakulima kwenye mazao hakuna cha wataalam wala nini wa kuwasaidia ,ina bidi watumie njia za asili kutumia jivu??kweli kuwa wana sayansi hapo?hadi ufumbuzi upatikane wa kitaalam tena kwa msaada wa watu wa MERICAN!!wakulima wako hoi
Umeona ehhHahaha mleta mada hasira za mtungi wako wa hesabu na fizikia umeamua kuzileta huku, sikulaumu kwasababu vijiwe vya kahawa vimekua vingi mno awamu hii
Tunafanyaga na practical bhanaMe najiulizaga et walimu wa sayansi wakat wanaandika theory kama history
Viumbe wenyewe wanasayans ndio hawa hawajui kuandika kwa hoja, izo pumba apoo juu imeabdika nin sasaHahaha mleta mada hasira za mtungi wako wa hesabu na fizikia umeamua kuzileta huku, sikulaumu kwasababu vijiwe vya kahawa vimekua vingi mno awamu hii
bora iwe hivyo kwa sayansi zenyewe hizi za kibongo?!!ambao hata changamoto ndogo tu zilizopo kwenye jamii hawawezi kuzitatua!!ndio maana kila leo wanakimbilia teuzi tu!!mwanasayansi anakimbilia siasa?yupo tayari kupotosha umma ili kumfurahisha aliyemteua?mwanasayansi an leta data ambazo mwanasheria tu anazikataa kuwa zimepikwa ,na baada ya siku inaonekana ni kweli(case ya makinikia)dunia nzima maprof wa jiologia walipatwa na mshangao kuwa inawezekana je yale makinikia yakawa na mali kiasi kile??basi tz ingekuwa nchi ya kwanza kuwa na dhahabu nyingi duniani!!!yako wapi????!!!!namaliza kwa kusema tena hivi PROF WA KIZUNGU NI TOFAUTI NA PROF WA KIBONGO!!!hutaki kitaaaUko mbali na sayansi.
Hizo zinaitwa za uso...YaleYale... Watu wa Sayansi hamtakiwi kuwa na mipasho kama hao wa Art, fanyeni kitu kionekane kwa jamii hizo blah blah waachieni kina HKL. Unadhani kina Tesla walikuwa na huu upuuzi wa kujisifu "Physics Oyeeee". Kilichoandikwa na mleta mada ni sahihi kabisa.
Ameamini hivo yeye,bali najua tuna wanasayansi wengi na muda si mrefu tutamuona mmoja baada ya mwingine;"Hatuna wanasayansi tuna watu wanaosoma sayansi...hatuna mainjinia ila tuna watu wanaosoma injinia….kama tutafumua mfumo wa elimu kuanzia shule ya msingi itasaidia kubadilisha mfumo wa uchumi…..".Joseph Mtele-UDSM
Umegundua nn na pcb yako au ni kukalili theories za wazungu tu?HKL mna matatizo sana, mmejipanga juu hapo kufarijiana.. PCB oyeeeee..