Hatuli cha Mtu bali ni Hiyana

Hatuli cha Mtu bali ni Hiyana

Hii ni duniani hapa au sayari ya Mars???
 
ebu huyohuyo asuke twende kilioni 5, avae nguo isiyombana inayofika magotini (sketi iwe ya marinda)......
 
hebu hapo anawe uso kwa sabuni ya magadi, atoe hizo katani kichwani na ajisitiri maungo yake vizuri uone kama hatakula cha mtu.
 
Kajaliwa Machuchu si haba ukijuwa kuyashuhulikia hayo husimama kama vile papa anavyo simamisha mashepeo yake akiwa baharini
 
Back
Top Bottom