Hatukuwahi kuwa na cartoon character, iPad wala plastic cars and dolls but this was the best childhood ever

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1536341509360.jpeg
 
Wakati huo tulikuwa na Viongozi tofauti na sasa tuna watawala. Kulikuwa hakuna kiongozi aliyekuwa anatumia hotuba yake yote kuwatisha waliomchagua. Viongozi na Raia hawakuwa na uhusiano kama wa Tommy na Jerry! Watanzania tulikuwa tunapendana. Sujui nani katuvuruga.

Mpaka nashawishika kumwunga mkono yule aliyedai kuwa uongozi wa wakristo ukimwondoa Baba wa Taifa ni kilio na kusaga meno! Mnisamehe kwa kumalizia frustration zangu kwenye uzi huu!
 
Back
Top Bottom