Hatujapoa ya mtoto wa Mombo yanakuja ya Abduli

Hatujapoa ya mtoto wa Mombo yanakuja ya Abduli

Bibie kashika Dola laki 3 anawanyoshea dole la kati ...kwamba mnapigwa hiii nyie...😂😂😂
Ila naskia binti kaathirika na mitusi na laana naskia alitaka kujiua
Aaaah wapiii haiwezekaniii
 
Na ninaomba akishinda aiuze yote kabisa maana Watanzania ni wapumbavu sana.

Kuna majitu yako huko vijijini yanavimba na baiskeli za Samia. Mengine yako kwenye Vyombo muhimu yanakwambia yanalindan kiapo chao kwa Amri Kiemba sijui Amri Said Jeshi Mkuu.
Naomba pia uiangalie hiyo hapo juu ya hao masista.
Dunia hii haina ukomo wa kushangaza kwa kweli!
 
Kuna mnasahau mchezaji mmoja mzanzibari mjinga mjinga tu alipewa mamilioni mwanzo tu na huyu maza ushauri wa huyu bwamdogo.
 
WATANZANIA NI WATU WAPUMBAVU SANA ANAPOTOKEA RAIS MZALENDO MNAMPONDA NA KUMWITA DICTATOR.....

Na ninaomba akishinda aiuze yote kabisa maana Watanzania ni wapumbavu sana.

Kuna majitu yako huko vijijini yanavimba na baiskeli za Samia. Mengine yako kwenye Vyombo muhimu yanakwambia yanalindan kiapo chao kwa Amri Kiemba sijui Amri Said Jeshi Mkuu.
Sayed
 
Binadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya madorali.

Mtoto wa Rais ananunua vigae vya ujenzi amounting to 2.4 billioni. Hakika siye wengine ni wasindikizaji.

Inaonyesha inchi inapesa nyingi ila zinahodhiwa na wachache.
Ulikosea picha kabisa si inabaki umbea
 
Back
Top Bottom