VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
daaah jamani nina msiba
ila imebisi nicheke
hii nchi bwana
asante mkubwa,huyo raisi feki ni nani?Pole kwa msiba.Kwa wakati tuliofika,ni vigumu kuongopa na kusema ukweli
Usijali.Ingawa uzi wangu ulihujumiwa jana na watawala wa JF,lakini nilichokisema ni kweli. Nchi hii imefikia pabaya.Kila kitu ni uongo tuMzee Tupatupa, ukienda uswiss uniletee chocklates, habari za nchi hii zimeshanichosha, bora nijiliwaze na chocklates, lol!
asante mkubwa,huyo raisi feki ni nani?
niliona ulivyohujumiwa, ila tayari ujumbe ulitufikia baadhi yetu, nina kikao mtaani kwetu jumamosi hii na wamama wenzangu, ni juu ya kuhimizana kuhusu KUIGOPA CCM kama ukoma!! ni bora kutokuwa na chama, kuliko kuwa mwanachama wa ccm! tunataka tuhakikishe kila mmoja wetu ana card ya CDM na tukijaaliwa pumzi inshallah TUKUTANE kwenye kura tu!Usijali.Ingawa uzi wangu ulihujumiwa jana na watawala wa JF,lakini nilichokisema ni kweli. Nchi hii imefikia pabaya.Kila kitu ni uongo tu
Wenzangu mmeamua vyema.Mimi bado.Lakini,siko mbali kimaamuzi.Naweka kwanza mambo yangu na ya familia yangu,hasa ya kiusalama,sawasawa. Kwanza,sikuwahi kupigia kura mgombea wa chama changu cha CCMniliona ulivyohujumiwa, ila tayari ujumbe ulitufikia baadhi yetu, nina kikao mtaani kwetu jumamosi hii na wamama wenzangu, ni juu ya kuhimizana kuhusu KUIGOPA CCM kama ukoma!! ni bora kutokuwa na chama, kuliko kuwa mwanachama wa ccm! tunataka tuhakikishe kila mmoja wetu ana card ya CDM na tukijaaliwa pumzi inshallah TUKUTANE kwenye kura tu!
Nitawekeni kwenye maombi, Pepo CCM lishindwe KABISAniliona ulivyohujumiwa, ila tayari ujumbe ulitufikia baadhi yetu, nina kikao mtaani kwetu jumamosi hii na wamama wenzangu, ni juu ya kuhimizana kuhusu KUIGOPA CCM kama ukoma!! ni bora kutokuwa na chama, kuliko kuwa mwanachama wa ccm! tunataka tuhakikishe kila mmoja wetu ana card ya CDM na tukijaaliwa pumzi inshallah TUKUTANE kwenye kura tu!
mbona sijapata ombi la kufanyika kikao chenu!!!!nitakuwepo na vitu vizito na vyenye ncha kali kuhakikisha hakifanyiki!!niliona ulivyohujumiwa, ila tayari ujumbe ulitufikia baadhi yetu, nina kikao mtaani kwetu jumamosi hii na wamama wenzangu, ni juu ya kuhimizana kuhusu KUIGOPA CCM kama ukoma!! ni bora kutokuwa na chama, kuliko kuwa mwanachama wa ccm! tunataka tuhakikishe kila mmoja wetu ana card ya CDM na tukijaaliwa pumzi inshallah TUKUTANE kwenye kura tu!
mbona sijapata ombi la kufanyika kikao chenu!!!!nitakuwepo na vitu vizito na vyenye ncha kali kuhakikisha hakifanyiki!!