VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Ni kweli picha zilizowekwa na Daily News ni za Rais Mpya wa Mexico,Enrique Pena Nieto akiwa na Makamu wa Rais na Mkewe? Hebu tazameni picha hizi kwanza.Picha ya kwanza na ya pili ni sawa na ya tatu na nne? Mbili za kwanza ndizo za Enrique Pena Nieto halisi. Mbili za pili sizo. Hizi mbili za pili ndizo zilizotumiwa na Daily News. Wanataka kumpotosha nani? Hata Makamu wa Rais anatungiwa uongo kama alivyowahi kutungiwa Rais? Serikali na chama changu cha Mapinduzi tupunguzeni uongo basi