hatujaonana lakin tunapendana!

shikamoo mpesa... umeshawahi kujiuliza anakupendea nini ????? hakuna mapenzi ya ivyo ndugu yangu we hudumia tuu wanakula wengine huko chuoni kwao..
 

Kwa upande wangu uwezekano wa kuendelea kufanywa ATM ni mkubwa zaidi kuliko huo wa ndoa! Sina uhakika sana kama unaijua vizuri fb na jinsi ambavyo wadada huitumia kujiingizia kipato! Ni vyema kuwa makini mpaka mtakapoonana.

Imagine, hamjaonana mnapeana picha tu fb ambazo zinaweza kuwa hata si za kweli, matumaini yenu yako kwenye simu pekee, hujawahi kuonana, hujui hata anafananaje, hujui afya yake, hujui tabia yake; ghafla unawaza ndoa?

Sijui labda uzee huu unanifanya kuwa mvivu wa kufikiri au laaa basi nimepitwa na ulimwengu huu wa kidijitali!!!
 
Epuka kuwa mbarula. Yaani watuma hela, akulegezea sauti halafu wadhani anakupenda.

Stuka umekuwa ATM wewe
 

Duh...mshkaji we umetushinda hata waChagga kuhonga! Yaani facebook tu ushaanza kukata mkwanja na maandalizi ya kuoa!?
 

Hivi jamani, mbona kila siku tunashauri haya haya na kila siku yanajirudia? Wewe kwa upumbavu wako unamtumia pesa mtu hujawahi kumwona. Acha utani wewe unaulizia ndoa wakati mchumba mwenyewe huna. Hivi nyie mmetoke nchi gani yenye MAZOMBI kiasi hiki, kama huna macho jaribu hata kupapasa hapa unaliwa mazima.
 

Posts zako zote huwa natoka kapa.............sijui uwezo wangu mdogo wa kuelewa, but hata ile ya jana duuuuu lazima nitoke mweupe peeeee.............!!!!!!!!!!!!!!!
 
Majanaume zoba kama wewe cjui mmetokea wapi hapa ulimwenguni!
 

Kumbe ukiwa unachati na mtu kila wakati na kumtumia pesa ni KUPENDANA SANAAAA hivyo mnaweza kuoana!!!!!????:A S-confused1::A S-confused1:
 
fb imejaa usnii mwingi. ukute ni ndugu yako anatumia a/c fake.siku mnaonana laivu BALAA.
 
Posts zako zote huwa natoka kapa.............sijui uwezo wangu mdogo wa kuelewa, but hata ile ya jana duuuuu lazima nitoke mweupe peeeee.............!!!!!!!!!!!!!!!
kuna uzi analia lia ameibiwa mke na bosi wake
 
Honey, swetiee, nyogo mkalia Ini, mahabuba wa moyo, nami nakupenda pia achana na hao wwanaotaka kutuvurugia penzi letu, yaani nakupenda tena sana maana jana sikulala kwa kufikiria maneno yako, Ila nikwambie kitu dear, ninashida ya sh 200,000/= tu maana natakiwa kutoa photocopy , pamoja na chakula maana si unajua tena sipiki .Kwa hiyo Dear utanitumia eeeeeeeeeeeh!!! au ??
 
Wewe!fb hakunaga true luv kaka...ukute hata picha alizoeka c zake.kuna zombi km wewe alipendana na m2 fb kumbe ni mama mzee aliyetumia picha za mtoto wake cku wameonana kidogo achanganyikiwe..watch out kijana..
 
Niku2mie kwenye nn dear tgopesa au mpesa- Lisa
 
haya ya fb muyamalizae huko huko bana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…