Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wewe kiherehere chako ni kipi?.Wacheni watu wazungumze mradi hawavunji sheria za nchi.Huyu naye ana pesa ameanza kuwa na kiherehere, ngoja wamfunge mdomo
Ila Gwajima yeye hana?Mwingira anayo haki ya kikatiba kuongea kama mwananch.
Mene, tekeli na peres i juu yenu.Wanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna.
Tunahitaji viongozi wa dini kama Viongozi wa dini, wasio Viongozi wa dini wanachama wa vyama vya siasa
Tunahitaji Viongozi wa dini watakaoshughulika na siasa za Tanzania na sio Viongozi wa dini Wanachama wa vyama vya siasa vya Tanzania
Kiongozi anayeweza kujihusisha na siasa za Tanzania zenye mlengo wa Katiba ya nchi na ustaarabu wa Kiungu tu na siyo siasa ya vyama
Soma tena utanielewa tu...
Ukiwa kiongozi wa dini unapoteza haki ya kuwa mwananchi?Wanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna.
Tunahitaji viongozi wa dini kama Viongozi wa dini, wasio Viongozi wa dini wanachama wa vyama vya siasa
Tunahitaji Viongozi wa dini watakaoshughulika na siasa za Tanzania na sio Viongozi wa dini Wanachama wa vyama vya siasa vya Tanzania
Kiongozi anayeweza kujihusisha na siasa za Tanzania zenye mlengo wa Katiba ya nchi na ustaarabu wa Kiungu tu na siyo siasa ya vyama
Soma tena utanielewa tu...
Viongozi wa dini kama hawa hatuwahitajiWanasiasa tunao, Wananchi wa kawaida tunao, lakini Viongozi wa Dini hatuna.