Hatuhitaji umeme wenu

Hatuhitaji umeme wenu

Rufaro

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
221
Reaction score
344
Dah kati ya siku nilizokwazika ni leo. Yani tumekaa na wazee tunapiga maji ya mende tunasubiri mechi ufunguzi wa kombe la dunia, mnatukatia umeme? Halafu mlivyo ma roho mbaya kama za wachawi ( wanga) mnakata pale timu zinaanza kuimba nyimbo za taifa? Hio kesho wawakilishi wa afrika Senegal sasa ambayo ndio inasubiriwa sana itakuaje,

Sasa nasema umeme wenu hatuuhitaji, majuzi hapa eti mnaadhimisha mwaka wa mafanikio ya shirika lenu, mafanikio yapi hayo, ya kiganga au kichawi, au ya kifisadi..umeme wenu hatuutaki, bakini nao mpigie nao punyeto huko majumbani mwenu, kila siku ni maombo yangu kwa Mungu mfe wote mafisadi wa nchi hii haswa wa shirika hilo ambalo mnatufanya tukae gizani kama WACHAWI ( WIZARDS), nawaombea mpukutike kama KUKU WA KIENYEJI WENYE UGONJWA WA KIDERI.
 
Back
Top Bottom