Hatudanganyiki ng’o!!

Huyu maza kuna kitu kipo nyuma yake..

Haiwezeka binadamu wa kawaida hasa mwanamke kukaza fuvu kama hivi!

Zile video za mauaji na ugumu wangu huu nakosa usingizi mpaka leo
Best option ni yeye ku step down.
Mimi kuna moja hiyo…..clip ya yule dogo anakata roho huku utumbo wake ukiwa nje.

Hiyo taswira imegoma kufutika kichwani mwangu.

Kaniliza huyo dogo aisee.
 
Huyu Samuya anataka turidhiane kwa lipo, mtoto wa miaka 10 anapigwaje risasi ...Upuuzi
Yeye aende zake ICC huko akajibu mashtaka.
 

Attachments

  • 6228886-fc38c3c1cf4628d4d0cd63f486758e5f.mp4
    1.1 MB
  • 6228887-52f3953d6481c67e611bd53eb628b7ea.mp4
    1.4 MB
Anae andaa hotuba za mama anatofauti na mwanasheria wa yanga
 
Mimi kuna moja hiyo…..clip ya yule dogo anakata roho huku utumbo wake ukiwa nje.

Hiyo taswira imegoma kufutika kichwani mwangu.

Kaniliza huyo dogo aisee.
Very sad! Sikuiona hii..nadhani ingenitesa sana, hata swala hauwawi hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…