Freshthinking
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 621
- 108
Well Noted!Thanks
Jiandae vizuri usije ukaabika.
'Kumbuka msema pweke hakosi'. Kibaya zaidi ulishaanika silaha zako zote kabla ya kuingia vitani!
Well Noted!Thanks
Mie kama mwana Chadema natamani CCM wakutane na Dr Slaa kama campain Manager na mgombea Uraisi awe mtu mwingine asieendekeza makundi kwenye Chama, asiye Mbaguzi na aliye tayari kuitetea katiba ya Chadema na kuilinda.
Vumbi tu! Mlikuwa wapi muda wote? Matatizo lukuki, nazidi kusisitiza uongozi ni tatizo, kaka angalia nawe usije ukawa mojawapo ya tatizo kwa sababu tayari press yako iko biased kwamba "viongozi wamekashifiwa". Hao wanatakiwa kujibu tuhuma na kila mmoja ana haki kidemokrasia kutaja maonevu, mfano Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM ambako mimi siafiki ni kashfa?
Sana sana, kama hamna kitachotamkwa kuhusu kadi mi najitoa CDM na wewe mwenyewe utakosa kura yangu.
Safari njema mamluki wa magamba. CHADEMA hata siku moja haiwezi kuwakumbatia wanachama wanafiki kama wewe ambao badala ya kutafuta njia muafaka zilizowekwa na CDM katika kuzungumzia na kuyatatua matatizo mbali mbali ndani ya chama wanaamua kutumia njia za kubomoa katika kufanya hivyo. Kila la heri na usisahau kurudisha kadi ya CHADEMA mara tu utakapoamua rasmi kujiengua kama mwanachama.
Mtachapana wenyewe.Dhambi ile ile ya kujipachika falsafa ya nguvu ya umma bila kujua madhara yake ndiyo itakayotumika kubomoana wenyewe kwa wenyewe.
Vumbi tu! Mlikuwa wapi muda wote? Matatizo lukuki, nazidi kusisitiza uongozi ni tatizo, kaka angalia nawe usije ukawa mojawapo ya tatizo kwa sababu tayari press yako iko biased kwamba "viongozi wamekashifiwa". Hao wanatakiwa kujibu tuhuma na kila mmoja ana haki kidemokrasia kutaja maonevu, mfano Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM ambako mimi siafiki ni kashfa?
Sana sana, kama hamna kitachotamkwa kuhusu kadi mi najitoa CDM na wewe mwenyewe utakosa kura yangu.
Nakuunga mkono kuhusu ujembe wa JJ Mnyika, ila hili la kufika mbali, unataka afike wapi ili hali hapo alipo tayari yuko mbali!, au unamaani ndio wele wale waendelee kupokezana vijiti?!.Mhe. Mnyika wewe ni jembe. Napenda sana unavyojenga hoja na majibu makini. Mungu akutangulie, utafika mbali!
Yani baba wa mji kweli wamtoe kwenye kikao wakati kwanza hata yeye hapo alipo yanagonga kwa sababu anajua kuna kitu kinaita from somewhere?!,nakwambia hakuna mwenye uwezo CHADEMA wa kumuambia huyo jamaa akae pembeni ajadiliwe,na wakifanya hivyo ujue kimenuka wewe unadhani ni kwa nini ana kadi mbili zenye uhai uliotukuka???!!!chezea mbigiri wewe!!!!!!!!!
ndo uchunguzi gani unafanywa kwa njia hiyoni hatua nzuri ndugu; ila tungepeta upelelezi na ukusanyaji wa vielelezo ukamilike haraka na uwe wazi.
Nakuunga mkono kuhusu ujembe wa JJ Mnyika, ila hili la kufika mbali, unataka afike wapi ili hali hapo alipo tayari yuko mbali!, au unamaani ndio wele wale waendelee kupokezana vijiti?!.
Mkuu peleka copy original baki nayo
Avanti, asante kwa maoni yako hata hivyo zingatia kuwa 'press' yangu ipi? Ikiwa wewe kweli ni mwanachama wa CHADEMA na una malalamiko dhidi ya kadi ya Dr Slaa andika rasmi kwa chama. Kabla ya kuandika malalamiko hayo usome kwanza katiba ya CHADEMA, katiba ya CCM na sheria ya vyama vya siasa. Dr Slaa ameshasema wazi kwamba yeye si mwanachama wa CCM, ni mwanachama wa CHADEMA toka alipohama CCM. Mwanachama akihama chama kimoja tayari anapoteza uanachama wake wa chama cha awali, hii ni kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa, katiba za vyama vya siasa na pia hukumu ya mahakama ambayo imewahi kutolewa kuhusu suala la kadi. Ukishazingatia hayo na bado ukaendeleza suala hilo na ikiwa kwenye ni mwanachama utakuwa umeingia kwenye mtego wa kipuuzi wa CCM.
JJ