#COVID19 Hatua za kuchukua unapojitenga na maambukizi ya COVID-19

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
20210308_165859_0000.png


Kujitenga ni kwa ajili ya watu wenye dalili za Korona pamoja na ambao hawana dalili lakini wamepima na kuthibitika kuwa wana virusi vya Korona

Hatua za kuchukua ni kama zifuatazo:-

Kaa nyumbani isipokuwa kama utahitaji kupata huduma ya matibabu

Kaa katika chumba tofauti na wanafamilia wengine ikiwezekana

Tumia bafu tofauti ikiwezekana

Epuka kuwa karibu na watu wengine wa kaya na wanyama

Usishirikiane vifaa binafsi vya nyumbani kama vikombe, taulo na vyombo

Vaa barakoa ukiwa karibu na watu wengine ikiwa una uwezo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom