Noted n appreciated for a constructive challengeYes Sir, naongelea uumbaji wa mungu uliopijia mfano kuwa duniani iliumbwa kwa siku 6 na ya 7 ni mapumziko. Sasa hizo siku 6 ni in regard ya haya masaa tunayotumia hapa duniani ?
Kati ya time na uumbaji kipi kilianza ikiwa tunatumia 24 hrs as the reference ya siku moja ?
Do we even know kuwa hizi 24hours was created by human beings baada ya kuona mzunguko wa dunia kwenye muhimili wake , where do we draw the line ?
Thank you !
.Yes Sir, naongelea uumbaji wa mungu uliopijia mfano kuwa duniani iliumbwa kwa siku 6 na ya 7 ni mapumziko. Sasa hizo siku 6 ni in regard ya haya masaa tunayotumia hapa duniani ?
Kati ya time na uumbaji kipi kilianza ikiwa tunatumia 24 hrs as the reference ya siku moja ?
Do we even know kuwa hizi 24hours was created by human beings baada ya kuona mzunguko wa dunia kwenye muhimili wake , where do we draw the line ?
Thank you !
Akikujibu nitag mkuu[emoji120]2 Petro 3:8
Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
Hivi Mshana Jr. Una blog yako Binafsi, umeniinspire sana. Kuna Mambo naona unayo makubwa sana, nahitaji hiyo Elimu..
Jr[emoji769]
[emoji120][emoji120][emoji120]hapana kaka kila kitu namalizia hapa hapa JFHivi Mshana Jr. Una blog yako Binafsi, umeniinspire sana. Kuna Mambo naona unayo makubwa sana, nahitaji hiyo Elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kupumzikaHakuna palipoandikwa alichoka
Mungu hana sifa ya kupimzikaKuacha kufanya jambo ulilokuwa unafanya kwa muda ama moja kwa moja..
mtu anataka udhibitisho wa Mungu kuwepo na shetani kuwepo , aje huku kariakooo na theory zake kichwa kichwa afanye biashara kavu kavu ndo atadhibitisha Mungu na shetani wapo au hawapo ila utoto nao mzuri sna wakati mwingne.Sidhani kama hiki ndio kile kizazi cha Mungu tunayemfahamu na kuhubiriwa sana! Kiuhalisia hiki ni kizazi kingine kabisa
Kizazi cha elimu dunia na maisha ya pesa na vitu ! Ndio maana kufuru haiishi ya kumkana Mungu ! Bahati mbaya sana wanafanya hivi wakiwa bukheri wa afya huko mjini kwenye mataa na mwendokasi, natamani siku moja niwachukue ziara niwalete huku niliko usiku huu (search location utajua )
iv mnafahamu maandiko ya dini yameishi miaka mingi sna na kadri yanavyozidi kutasfiriwa yanakuwa na utofauti kulingna na mazingira na jamiii lengwa ?namba tatu umesema huna uhakika hizo siku kama ndio hizi.nadhani tungejikita kwenye ''IKAWA USIKU IKAWA MCHANA SIKU YA....IKAISHA.maana yake siku ni usiku na mchana
ila utoto nao mzuri sna wakati mwingne.[emoji3]mtu anataka udhibitisho wa Mungu kuwepo na shetani kuwepo , aje huku kariakooo na theory zake kichwa kichwa afanye biashara kavu kavu ndo atadhibitisha Mungu na shetani wapo au hawapo ila utoto nao mzuri sna wakati mwingne.
2 Pet 3:8Sisi binaadamu tunahisabu siku kutokana na usiku na mchana na nilazima kuwepo jua na dunia,wakati mungu anaumba hivyo vitu havikuwepo je ni siku gn Mungu alizo tumia kuumba hivyo vitu?