Wishful thinking [emoji846][emoji846]Moldovia lazima apewe dozi. Alafu anakuja kima anakwambia urusi imeishiwa silaha ha ha ha ha nusu ya vifaru vyote dunia ipo urusi hapo bado hatujagusa idadi ya makombora tofauti tofauti
[emoji3][emoji3]Westerns Wana intelligence ya ovyo,
Hawajui Putin anawaza Nini[emoji16]
Walau wewe unajaribu kuona uhalisia wa mambo,kuna Pro Putin wengine usishangae wakakupopoa kwa kejeli kwa hii comment yakoKuna Uzi fulani ,niliwahi kukoment ,kwamba ili Russia iwe salama ,Kuna ulazima kupeleka mashambulizi kiyv,bila kuipiga kyv na kuidondosha ,Putin ataendelea kushuhudia milipuko ndani ya Russia ,hasa kwenye maeneo potential .
... propaganda za western media hizo! Unaziamini?Moldovia lazima apewe dozi. Alafu anakuja kima anakwambia urusi imeishiwa silaha ha ha ha ha nusu ya vifaru vyote dunia ipo urusi hapo bado hatujagusa idadi ya makombora tofauti tofauti
Nyamizi kama ndio wewe ulikulia mitaa ya tiptop/mfuga mbwa njoo pm tungupuke uhenga wetu miaka 80s[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3]
Hahaha... propaganda za western media hizo! Unaziamini?