Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 823
Ilikuwa zamani tulipokuwa tunasaga soli za viatu au matairi ya gari kumfukuzia demu miezi na miezi. Kwa sasa wanawake ni wengi kuliko wanaume rijari kwa hiyo tunakonyeza tu kwa jicho demu keshaingia laini.