Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Ninashanga!
Hata wewe umeona eeeh........
Ninashanga!
Ninashanga!
Kipengele cha maswala ya bank......atm......na nini mbona sioni........?..........
Hizi ni point za mwaka arobaini na saba!
Kipengele cha maswala ya bank......atm......na nini mbona sioni........?..........
mi nkajua anaendelea kumbe ndo kamaliza alaah yaan ukitajwa jina tu unaahiba mwenye nyumba hadai kosi rena au?
tutarajie mengi maana shule zimefungwa
Ha ha haaaa. . . . thank you!!!!
Labda hapo wanaongelewa wadada wanaojimudu. . . . . . .
mwenyewe najimudu ila reserve awe nayo.
pia kipengele cha performance stajini cjaona
Hapo sasa sawa mwaj waukweli. . . .. . Sio kila kukicha pichu mara bra imelegea mikanda sijui kitasa kimegoma ooonh fundi wa kiatu ananidai yaani kila ukimuona yeye anashida tu. . . . mara hela ya gari la uchafu sijui sangita zimefanyaje. . . . . . . Dunh
Ha ha haaaaa unataka kichezo kikali sio. . . .
Mmmmmh