Hatonisahau huyu binti

Hatonisahau huyu binti

Habari zenu wakuu

Ni miaka kadhaa wa kadha imepita , wakati niko chuo nilikuwa nimepanga sehemu furani hivi , Sasa huyo jamaa mmiliki wa nyumba alikuwa na shemeji zake wadogo wadogo. Binti mmoja akawa amepotea mi sikujua kaenda wapi . kumbe alikuwa anafanya kazi za ndani sehemu furani hivi wakati anatoka alikuwa ni binti mdogo ndo vititi vinaanza kuchomoza tu yaani hata kumfikiria tu huwezi.

Mwaka mmoja hivi na nusu akarudi kwa shemeji yake , salaaale aki ya Nani biti alikuwa ameumuka kama andazi lokozwa hamila , amekuwa Bonge balaa .

Siku hiyo akajiganya amenisahau huku na mm anajiuliza hivi ni yeye au Dada yake! Walau

Akiwa na Dada yake akauliza hivi huyu ndo nkola au namfananisha sister ake akasema ni yeye kwani vipi !? Akamwambia mpaka Leo bado yupo tu! Dada akeakamwambia ulitaka afe akasema no ila.....Dada yake kamwuliza ila nn! Akavunga akasema achana naye kwanza anatuchora tu.

Akipita anatingisha msawanda na hivi alijaliwa Acha tu . shida yangu msabwanda sinaga hamu nayo, Mara aniulize nimependeza? Majibu yangu mabovu siku zote kama ungependeza ungekuwa umeshaolewa ! Na yeye anasema mi mrembo wanaume wananiogopa . nabaki nacheka tu

Alikuwa ananivizia mno kwenye bomba napoenda kuteka MAJI atakuja yaani we nkola mbaya sana ! Namuuliza ubaya wangu uko wapi ? Anapaparika kwanza wewe dogo sana nakuburuza mpaka hutatembea kabisa jibu langu kubwa lilikuwa moja tu" wewe bado mdogo nitakutoa ulimi bure" kinajifaragua huniwezi weeee

Siku moja kikaja geto kikavua dala kikaingiza ndani mwanaume napiga msuli wa UE TV inaendeleza mziki huku lap top iko kitandani na makaratasi zaguli zote yaani hutapenda. Kikajitupa pwaaaaa! Kwa kitanda kikaanza nipe tope niangalie video za kuto... M..bana nkakiambia mi MZEE hayo mambo siyawezi haina hayo kinadai nikipe nikakipa kikaanza kucheza picha zilizokuwemo .

Mara ooooh nkola hivi unanionaje nkakiambia kawaida sana hata kudindish siwezi we siyo levo yangu

Hahahah Acha kijishebedue
ulizingua mkuu demu kajitupa kitandani ukaacha daah yani kutafuna ulishindwa hata kumumunya daah umezingua sio uwanaume huoo
 
Siku moja kikaja geto kikavua dala kikaingiza ndani mwanaume napiga msuli wa UE TV inaendeleza mziki huku lap top iko kitandani na makaratasi zaguli zote yaani hutapenda. Kikajitupa pwaaaaa!

Ume unaounguza maneno kama hayo ambayo hayahusuani na stori yako....unatupa uvivu wasomaji
 
Habari zenu wakuu



Siku hiyo akajiganya amenisahau huku na mimi anajiuliza hivi ni yeye au dada yake! walau

Akiwa na dada yake akauliza hivi huyu ndo nkola au namfananisha sister ake akasema ni yeye kwani vipi !? Akamwambia mpaka leo bado yupo tu! dada akeakamwambia ulitaka afe akasema no ila.....dada yake kamwuliza ila nini! akavunga akasema achana naye kwanza anatuchora tu.

Mara ooooh nkola hivi unanionaje nkakiambia kawaida sana hata kudindish siwezi we siyo levo yangu

Hahahah Acha kijishebedue
What the ***?
 
Bwege .... kwa namna ya uandishi wako unaonekana kabisa wewe huko smart kiasi ya kufanyiwa ushawishi na kidemu cha mtaa ukastahamili, mstaarbu wa kuzuia matamanio yake na tashwish za mwananmke katu tena abadan hawez kuepuka mitihani kama hiyo halaf akaja mbele ya kadamnasi ya waungwana akajisifu ati kafanikiwa kuepuka kufanya dhambi ya kulala na mwanamke bae si halal yake, atakachokifanya ni kushukuru na kuomba Mungu amsaidie na kumuepusha na dhambi na mitihani ya namna hiyo na mengineyo, vyenginevyo kuna kitu ulikuwa unakikwepa na kukiogopa.
Mkuu uko sawa kwa akili yako sikuhukumu
 
Mkuu hujui kuwa kuna mwanamke mwingine ukimuona hata kama ulikuwa umedi...nda inasinyaa ghafla

Si kila mwanamke unaweza kusujudu
Uanaume wa dar huu. Hivi hivi ukamuache? Sujawah kufanya hayo makosa...
 
Unaonaje ukiianzisha hiyo shahada na uwe mkuu wa kitivo cha shahada ya hiyo uliyoisema
Kuna watu wanastahili kutunukiwa vyeti vya upumbavu uliokithiri.

Wafanyiwe na sherehe, wakabidhiwe vyeti kwa msafara wa matarumbeta!

Mfano: Bachelor degree in extraordinary foolishness and associated outstanding stupidity!

Acha nilale mimi.
 
Back
Top Bottom