Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 881
- 303
Watafute alternative tofauti na udomHabari za kazi,
Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)?
Maana mpaka sasa watoto hawaelewi wafanyaje na mliahidi baada ya wiki tatu mtatoa hatima yao ila yapata mwezi mmoja na wiki moja sasa hawaelewi hatima yao.
Huu mwendokasi unatuacha wengi sana njianiHabari za kazi,
Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)?
Maana mpaka sasa watoto hawaelewi wafanyaje na mliahidi baada ya wiki tatu mtatoa hatima yao ila yapata mwezi mmoja na wiki moja sasa hawaelewi hatima yao.
Jaribu kuwasiliana na uncle magu au ant ndalichakoJe Swali je nn hatima ya wanafunzi waliokuwa na vigezo kusoma Hiyo programme maana imepita mwezi na week mbili wakatI mh waziri aliahidI majibu lakini Mpaka sasa ni kimyaaaa wana jf naomba kuwasilisha
wewe umewaona wa udom tu wakati waliokuwa mondul teacher collage wameondolewa kwa kuambiwa hawana qualification baadhi...na waliobaki mkopo hamna tena
Taarifa Hiyo Sina ndugu ndo maana nawazungumzia ambao taarifa zao ninazo za uhakikaJaribu kuwasiliana na uncle magu au ant ndalichako
Apo mkuu umenenaSerikali imeamua kuchezea elimu ya vijana hawa ambayo wameitafuta kwa muda mrefu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne ,
Hivi ingelikuwa ni watoto wao ndo wanapotezewa dira namna hii wangejisikia amani kweli?