The Coin Man JF-Expert Member Joined Jan 2, 2025 Posts 1,453 Reaction score 1,842 May 27, 2025 #21 stephot said: Apumzike sasa,kinachofuata ni kuaibika tu... Click to expand... Ako na top scorer anahaibika vipi. Sporting Lisbon next move
stephot said: Apumzike sasa,kinachofuata ni kuaibika tu... Click to expand... Ako na top scorer anahaibika vipi. Sporting Lisbon next move
S saiko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,537 Reaction score 1,503 May 28, 2025 #22 mriringa said: CR7 akistaafu soka atanenepeana na ndo utakuwa mwanzo wa magonjwa ya ovyo. Nashauri aendelee kucheza kama Kuna timu inamhitaji maana kwa timu za kati bado jamaa anasumbua sana. Click to expand... Ba ako hachezi kanenepa kwani anakula starch kama ww eti anamshauri Ronaldo aina ya menu
mriringa said: CR7 akistaafu soka atanenepeana na ndo utakuwa mwanzo wa magonjwa ya ovyo. Nashauri aendelee kucheza kama Kuna timu inamhitaji maana kwa timu za kati bado jamaa anasumbua sana. Click to expand... Ba ako hachezi kanenepa kwani anakula starch kama ww eti anamshauri Ronaldo aina ya menu