Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,609
- Thread starter
-
- #101
Masikini hakashirikishwi, hakajui hata ratiba ya chama chake.Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"
Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.
CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.
Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
Juliana Shonza una ushabiki wa jazba ambao hata mwenyekiti wa chama chako hana ushabiki wa aina hiyo kwa chama!
Unaandika thread as if unaimba taarabu aisee!
Mbona na wewe hukuenda kwenye kikao?Zipo baadhi ya comment ambazo ni worth responding, nazo ni chache sana kulinganisha na pumba za bavicha walizotema wakiwa wamepanick...
Nitarespond zile ambazo zinastahili kujibiwa.
...roho mbaya na arrogance ya namna hii kwenye nchi (na chama-ccm) inayojinasibu kuwa eti ni ya kidemokrasia haitakiwi na huu ni mfano hai wa fikra za walio wengi huko ccm...Kwamba hatma ya nchi hii eti wanayo wao kwa namna yoyote ile.....Mawazo kama haya kwenye nchi ya kidemokrasia yanatosha kabisa kukinyim chama fursa ya kuongoza taifa...maana ni mawazo yenye kuonyesha ubinafsi uliozidi mipaka na hayakubaliki katika mataifa yenye kujinadi kufata demokrasia.....Haya ni mawazo ya chama chenye kutawala kidikteta na yamechangia kuviangusha vyama vingi madarakani........mfano mzuri ni hapo Kenya tu enzi ya KANU ya Moi.....Kweli sikio la kufa huwa halisikii dawa....Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"
Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.
CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.
Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
Japo natamani chama cha upinzani kishike madaraka mwaka huu..ukweli wa thread yako unabaki kuchoma moyo wangu!!kwani ni kweli Dodoma wataamua mustakabali wa nchi hii!!
Heshima ikurudie Mkuu Emma kuna watu wamekuwa kama mapunguani kusifia na kupigia makofi yale ambayo hayastahili kufanyiwa hivyo kama wizi, uzembe, ufisadi, rushwa, uongo, uhuni n.k. ambao unazidi kukithiri ndani ya chama chao cha wahuni na Serikali huku nchi ikizidi kuangamia miaka nenda miaka rudi.
Julia anavyotapika atakuwa amekunywa maji ya mvua ya mto janguani sio bure
Kama alivyosema Mzee Mkapa katika moja ya hotuba yake makini aliyoitoa mwishoni mwa miaka ya 2004 ambayo imenukuliwa katika vyombo mbalimbali vya habari na katika jarida la Mzalendo la Chama Cha Mapinduzi, kuwa CCM ikipiga chafya wengine wote wanapata homa"
Ukweli huo umebaki hivyo na utabaki hivyo milele kuwa CCM ndio Baba ndio Mama wa nchi hii, ni CCM pekee yenye kuweza kufanya uamuzi wa dhati wa hatma na mustakabali wa nchi.
CCM inakutana wiki hii mjini Dodoma kufanya maamuzi ya hatma ya nchi, kuamua nani anakuja kuwa mrithi wa Jakaya, nani anakuwa Rais wa awamu ya tano, maana ukweli ni kuwa mgombea wa CCM ndio Rais wa Tanzania kwani hakuna Chama wala kikundi cha walafi kinachoweza kutoa Rais ama chenye uhakika wa kupata hata wabunge 20 katika uchaguzi wa 2015.
Wananchi, vyombo vyote vya habari na vyama vya siasa wooote masikio yao yameelekezwa Dodoma kusikiliza nini CCM inataka kuamua, ndio ni kwa sababu CCM ndio baba wa Taifa hili na maamuzi ya baba ni maamuzi ya Familia nzima, CCM ikiamua Taifa limeamua.
Hayo mawazo mnayojifariji nayo ila mwisho wa CCM ni October 2015. Chama chakavu, mipango na fikra chakavu tupa kule. Miaka 50 bado hakuna kitu mnachoweza kujisifia cha maendeleo ila ufisadi uliotukuka.
zipo baadhi ya comment ambazo ni worth responding, nazo ni chache sana kulinganisha na pumba za bavicha walizotema wakiwa wamepanick...