Hatma ya James Lembeli imeshaonekana

Nakubaliana na wewe kbs mkuu kuwa kwa sasa Lembeli safari yake kisiasa imeishia hapo kwani ni vigumu sana kuaminika tena mbele ya jamii.
 
Ni hiari yake kutumia haki yake, kwenda anakotaka
 
Haki ya mungu[emoji134] [emoji134] huyu mzee juzi juzi hapa si kasema harudi ng'ooo chama tawala!!!kweli shibe ni bora kuliko tamaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…