Hatma ya James Lembeli imeshaonekana

VP upepo wa yule aliyemporomosha wasira upepo wake unauonaje!!!
 
Ng'ombe wasio na mikia ni hatari.
 
Chadema kimebaki na shehena ya mikia hahahaa.
 
hakuna kasi wala nini,,CCM imejaa wezi walikuja CDM wakakoswa wezi wenzao ndio maana wamerudi kwao na kingine kwann walipokuwa CDM walikuwa makapi lakini waliporudi ccm wale wanafiki waliowaita makapi ndio waliowapokea
 
Mtu ambaye hakukupigia kura anaporudi na kumpokea ni sawa na kumlea nyoka kwenye banda la kuku.oil chafu inapokuwa mpya baada ya kuwekwa kemikali(mgana na mpendazoe)
 
lembeli kama akitaka kupoteza heshima aliyojijengea arudi ccm. sifa ya mwanasiasa makini ni kuwa na msimamo usioyumba kama dr. slaa....
Kuna jambo litatokea kahama siku si nyingi,tega sikio
 
Anakufa njaa jamani Lembeli JPM msaidie , , mzalendo wa kweli mpe hata kama DC hivi amalizie ada za watoto

lembeli kama akitaka kupoteza heshima aliyojijengea arudi ccm. sifa ya mwanasiasa makini ni kuwa na msimamo usioyumba kama dr. slaa....
 
Anakufa njaa jamani Lembeli JPM msaidie , , mzalendo wa kweli mpe hata kama DC hivi amalizie ada za watoto
Mkuu ni jambo la muda tu tega sikio kwenye ziara ya Magufuli keshokutwa kahama kuna jambo
 
''Ng'ombe akikatwa mkia humzuii kuingia zizini ila wenzake wakimtizama watamtambua kwamba hana mkia'',usiogope Lembeli asante kwakukusikia ushauri japo tayari mkia wako una alama yakudumu karibu.
 
Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!

Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.

Wewe kwelii ni boyaaa,,, yan chadema wamekuwa wezi kuliko CCM ??? acha kuwa mpotoshaji,,,
CCM wamejaa mafisadi had Magufuli wenu amewahi kusemaa,,,, sasa unafkirii watumishi hewa nan aliowasababishaa kama si mkuu wa kaya aliyepita?,, Makontena hayakuwa yanalipa kodi na ukichunguza hayo makontena yalikuwa ya nani utagundua yalikuwa ni ya kada flani wa chama cha CCM,,,
Yan nchi hii ilioza ilfkia hatua mtu hata ukifanya ufisadi ubadhirifu hauchukuliwi hatua na Polis kwasababu ni kada wa CCM,,,,
Nchiii hii imetia aibu sana imefkia had makamishna wa Polis wakifundishwa kaz na Rais wa nchi atii wamkamate mwizii waliyenaee ambaee alichukua mabilioni ya pesa bila kushona hata jezi moja ya polis
 
ukimuona muulize kama ameshaziona nyeti za kuku.
 
haa haa huenda naye lembeli akahamia kwa msukuma mwenzake. jana cheyo katuthibitishia hilo. sijui sisi wangoni lini tutakamata ikulu....maana kwa sasa ukiwa ngosha mambo yako saaaafu.
Hivi had leo watu bado wanawaza ukabila na kuu-like! Iv ku-ban-iwa had uongee tusi kubwa kiasi gani zaidi ya tusi hili la mawazo ya kizamani ya u-kabila,u-dini na u-kanda?
 
Hivi unaongea nini wewe, kama angebaki ccm, je angekuwa na tofauti gani na leo, kama kura za maoni walishamuacha sasa amejimalizaje kisiasa aliahidiwa kuwa asipo kuwa mbunge angepewa cheo gani, tafakari kabla ya kuandika wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…