Hatma ya James Lembeli imeshaonekana

Umevimbiwa wewe!!!!
 
Mbona leo nimesikia Mzee Lembeli karudi CCM?
 
Hakuna aliyerudi...take it from ME.Lowassa yuko very strategic na anajuwa jinsi ya kucheza cards.Mzee Msindai hawezi kujidhalilisha anajuwa anachofanya...Muda ukifika tutajuwa.
 
CC
Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!

Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
CCM inakufa kabla ya 2019
 
wewe ni ng'ombe yupi? mwenye mkia au asie na mkia
mwenye mkia. nafikiri wewe ni yule ng`ombe ambaye anawapandia wenzake akiwa kwenye ''heat period'' akiwapa wenzake sign iliapewe mzigo
 
Wewe ni punguani kabisa,unayaandika usiyoyajua.Lembeli aliamia Chadema na Ester Bulaya,long before Lowassa chipped in.

Sasa unaposema Lembeli alimfuata EL,kwa mantiki hipi.
 
Wewe ni punguani kabisa,unayaandika usiyoyajua.Lembeli aliamia Chadema na Ester Bulaya,long before Lowassa chipped in.

Sasa unaposema Lembeli alimfuata EL,kwa mantiki hipi.
anaposti tu asiyoyajua kapoteza kumbukumbu, yuko kwenye heat period anadandia tu
 
Siasa ni mchezo wa idadi
 
Hakuna aliyerudi...take it from ME.Lowassa yuko very strategic na anajuwa jinsi ya kucheza cards.Mzee Msindai hawezi kujidhalilisha anajuwa anachofanya...Muda ukifika tutajuwa.

Hahaha mmerudia ile misemo yenu kwa fisadi Lowasa anaondoka CCM na Wabunge 150, wakuu wa Mikoa na Wilaya, mlishindwa kuiyumnisha CCM kabla ya uchaguzi mtaweza leo Magu ana kofia mbili na approval rating ya Watz karibia 90%?! Kweli some things never change!
 
Upepo wa siasa hauna muda, kwa kipindi kifupi mtu anaweza kuvuma akawa maarufu au akawa marufuku. Lembeli ana historia ya kuwaangusha vigogo na kiukweli wengi hawakumpenda. Sisi watanzania tunaitambua kazi yake na arudi tena mwaka 2020, tutamuelewa. Nachelea kutamka kwamba 2015 alibweteka akijua yule msukuma mfanyabiashara hakubaliki, lakini kumbe yule msukuma ni master wa game za faida. Ukishakua mfanyabiashara mkubwa lazima ujue fitna hata kama una elimu kidogo. Lembeli jipange, rude 2020 tutakuelewa, komaa jimboni kama raia, kaa nao, kula nao, lima nao, zika nao na itakulipa. Hamna aibu kutokuwa mbunge, na swala la chama halimaanishi hauwezi kuwa mbunge. Kama ipo, ipo tu.
 
Shida inakuja pale mhamaji anapofuata cheo halafu anakosa halafu anarejea tena. Kama watu watahama kwa nia tu ya kujenga chama hili haliwi tatizo
Tatizo lingine lipo ndani ya mawazo yetu kwamba tukimsikia mtu yuko kimya tunamzomea. Mfano tunamshangaa Sumaye eti karudi mchangani. Hili ni tatizo letu DUnia ni mpishano leo uko juu kesho mwingine leo ccm kesho cdm lakini hilo ni kituko kwa wengine
 
Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!

Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
Unajifaliji, ruhusuni mikutano muone
 
Nidhamu katika uovu. Unajua ilimchukua kiasi gani Lamberi kupingana nanyi ktk ufisadi na kulindana katika uovu huo? By the way, mlishinda uchaguzi kahama?
Kweli kabisa mkuu, ngatuni hajui ni vita gani Lamberi (Lemberi) he fought in CCM, na si yeye tu hata marehemu filikunjombe kwa kupambana nanyi katika uovu na ufisadi na wote tunajua nini amekua akifanyiwa na hata baada ya kufa tumesikia matamko yakitolewa na vilaza na makuwadi wa ufisadi.
 
Inaonyesha imekuuma sana huyu mzee kuhama,watahama wengi na wakongwe zaidi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…