Hatma ya James Lembeli imeshaonekana

lembeli kama akitaka kupoteza heshima aliyojijengea arudi ccm. sifa ya mwanasiasa makini ni kuwa na msimamo usioyumba kama dr. slaa....
Usiseme Lembeli ni mwanasiasa,sema mwanasiasa mfu kwani kiroho tuko naye ila kisiasa alishakufa kitambo
 
Lembeli hakuhama sababu ya kumfuata Lowassa bali hali ilikuwa ngumu mno kwa yeye kupita kura za maoni mbele ya Jumanne Kishimba ndani ya CCM so upepo wa Lowassa ni coincidence tu.

Na dalili za yeye kukata tamaa zilionekana baada Tu ya tetesi kuwa Kishimba atagombea kabla hata ya Lowassa kukatwa.
 
Amebaki zitto
 
S
lembeli kama akitaka kupoteza heshima aliyojijengea arudi ccm. sifa ya mwanasiasa makini ni kuwa na msimamo usioyumba kama dr. slaa....
Si alisema ccm sio mamake wala babake, sasa namshauri aende udp, kwa wanyantuzu.
 
Jua kwamba lembeli alikuwa Wa kwanza kwenda chadema ndio bulayo Na kina lowasa wakaja kwa hiyo alikuwa anajua anafanya nini kushindwa uchaguzi kuna mambo mengi sana najua amejua alikosea wapi atajirekebisha
lembel hata Kura za maoni CCM wasingempitisha...his move was right
 
Wwe unataka kuleta siasa za chuki na za kifedhuli,elewa kwamba siasa ni watu na kuhama kwao huko ndio demokrasia ya mabadiliko,nakuomba mh.Rais usiifanyie kazi huu ushauri maana hajui hata maana ya vyama vingi!
 
Kwani mimi nimemshauri chochote raisi juu ya Lembeli?
 
Wwe unataka kuleta siasa za chuki na za kifedhuli,elewa kwamba siasa ni watu na kuhama kwao huko ndio demokrasia ya mabadiliko,nakuomba mh.Rais usiifanyie kazi huu ushauri maana hajui hata maana ya vyama vingi!
asiifanyie kazi wakati kasema wafugaji hawakatazi ngombe aliyekatwa mkia kuingia ila wote wanajua kakatwa mkia tafsiri yake ni ipi?
 
Nidhamu katika uovu. Unajua ilimchukua kiasi gani Lamberi kupingana nanyi ktk ufisadi na kulindana katika uovu huo? By the way, mlishinda uchaguzi kahama?

Siyo Kahama tu, bila mabavu ya dola leo hii ccm ingekuwa upande wa pili, na hili wakubwa wote wanajua.
 
James Lembeli siku zote alipinga ufisadi na Lowassa. Ilitokea bahati mbaya kuwa wakati anaikimbia CCM na kujiunga CHADEMA kwa sababu kuu ya ufisadi uliojaa CCM alijiluta akiungana na icon wa ufisadi Tanzania naye akimfuata kule kule CHADEMA kwa sababu zake tofauti. Ninaamini Mzee Lembeli alisikitika sana kumwona Lowassa naye anapokewa CHADEMA. Hakutarajia kuwa ndani ya CHADEMA kulikuwa na wasaliti kama Mbowe ambao wangeweza kuikana agenda kuu ya chama na kumpokea kiongozi wa ufisadi na mafisadi. Naamini Lembeli alikuwa na wakati mgumu sana nadhani mpaka leo hana amani. Hata Mpendazoe aliondoka CCM kuukimbia ufisadi na mafisadi. Sasa CHADEMA ilipoanza kuwa kimbilio la mafisadi waliotemwa CCM ni wazi walijilaumu sana na kuondoa imani kabisa kwa CHADEMA ya Mbowe.
 
Escrow bilioni 300+. Meli Chakavu Bilioni 8, Lugumi Bilioni 30+, n.k.

Chama Cha Mang'ombe (CCM).
Chama Cha Majizi (CCM).
Chama Cha Majipu (CCM).
Unaweweseka - huko watu walishatoka, kovu huwa halitibiki ila kidonda hupona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…