Nipokea ushauri wako ni mzuri. Mimi kazi yangu nikutumbua na nitambua kweli kweli haya majipuMh Raisi Magufuli naomba nikushauri kama mtoto na mwananchi wakawaida
Ili CCM iwe zuri ladhima tujengee aina ya nidhamu.watu wote wanaohama chama nashauri hakuna kurudi kbsa kbsa kbsa wasiwe tena na nafasi katika utawala wako.hii itafanya chama kuwa na nizamu kubwa sana sana
Hapana mkuu mtoto akijichafua mkono hatuukati bali tutauosha na mtoto akililia wembe unamuacha kwanza ukishamkata then utamwambia sababu za kumkataza kutokuuchezea wembe.Edward aliwahadaa kwakuwapa matumaini makubwa mno ambayo hawakuyapata.Mh Raisi Magufuli naomba nikushauri kama mtoto na mwananchi wakawaida
Ili CCM iwe zuri ladhima tujengee aina ya nidhamu.watu wote wanaohama chama nashauri hakuna kurudi kbsa kbsa kbsa wasiwe tena na nafasi katika utawala wako.hii itafanya chama kuwa na nizamu kubwa sana sana
Nidhamu katika uovu. Unajua ilimchukua kiasi gani Lamberi kupingana nanyi ktk ufisadi na kulindana katika uovu huo? By the way, mlishinda uchaguzi kahama?Mh Raisi Magufuli naomba nikushauri kama mtoto na mwananchi wakawaida
Ili CCM iwe zuri ladhima tujengee aina ya nidhamu.watu wote wanaohama chama nashauri hakuna kurudi kbsa kbsa kbsa wasiwe tena na nafasi katika utawala wako.hii itafanya chama kuwa na nizamu kubwa sana sana
Hapana ni Tanzania tuu upo uchafu huu.Siku nikipata kuwa Wa Mwenyekiti Wa ccm Taifa watanikoma sana sana.jiulize labour party vs conservative party au democratic vs Republican parties wanafanya ujinga huo.Mimi nasema ukitoka ccm hakuna kurudi.Mrema mbona hajarudi ccm na bado anafanya kazi na ccm.Magufuli nakuomba ili kusiwe na mchezo wakukidhofisha chama nashauri kama Mwanaccm Wa mrengo mkali usiopinda kbsa tofauti na Mrengo wakati Wa MhKikwete na pia wewe na Mimi mrengo wetu unafanana sasa Fanya hivyo wale wote Jana waliotangaza kurudi wafukunze simama kishujaa maana wewe ni shujaa watimue ukifanya hivyi chama kitakuwa na nizamu kubwa sana hakuna hayamambo yakukisaliti chama utasikia tens naomba uniunge mkono Mimi mwanamrengo mwezako.natamani ningeweza kunywa chain nawewe kwenye kikombe kimoja ningepumua kwa Amani sanaHapana mkuu mtoto akijichafua mkono hatuukati bali tutauosha na mtoto akililia wembe unamuacha kwanza ukishamkata then utamwambia sababu za kumkataza kutokuuchezea wembe.Edward aliwahadaa kwakuwapa matumaini makubwa mno ambayo hawakuyapata.
"mzee wangu Msindai karibu sana naona mpaka umekonda",hii ilikua kauli ya raisi jana dodoma
Mh Raisi Magufuli naomba nikushauri kama mtoto na mwananchi wakawaida
Ili CCM iwe zuri ladhima tujengee aina ya nidhamu.watu wote wanaohama chama nashauri hakuna kurudi kbsa kbsa kbsa wasiwe tena na nafasi katika utawala wako.hii itafanya chama kuwa na nizamu kubwa sana sana
Msamahe anaugulia maumivu ya kukosaHivi ni kweli hufahamu kwamba CCM ilishanda kahama ama ni ulevi tu?
Escrow bilioni 300+. Meli Chakavu Bilioni 8, Lugumi Bilioni 30+, n.k.Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!
Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!!
Wakipewa nchi itakuwaje???Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.