Hatma ya binti Monica ni ipi?

Najaribu kufikiria kama ni mdogo wangu wa kike kabisa, halafu ameomba ushauri kama huu jibu lingekuwaje. Hapo jibu lingekuwa moja tu. ACHANA NAYE MARA MOJA NISIJEKUSIKIA.

Iko hivi, mara nyingi hali hii ikitokea wanaovumiliana ni pair mbili tu, yaani ikiwa wote ni waathirika au ni wanandoa tayari.

Lakini kwa wachumba tu tena uchumba usio rasmi mambo yanaweza kuishia hapa.

Jambo la msingi kama ulivyoshauriwa baada ya miezi mitatu nenda kapime. Na kwa sasa kwepa kukutana naye kimwili mpaka uthibitishe status ya afya yako. UKIKUTWA UKO SALAMA KIMBIA MBIO NDEFU.

Ushauri wote unaotolewa humu ni kwa kuwa hawakujui. Mdogo wangu kama ukipima utakuwa salama achana naye. Umia siku moja lakini ukawa na amani ya siku zingine zijazo, kuliko ukaitafuta amani ya sasa kwa msongo na maumivu ya the rest of your life. Wanawake ni wengi wenye status yake na ni wazuri atawapata. Ila kama ana pesa na ndizo unazotaka kujilipua nazo basi sawa kila la heri.
 
Mzigo wako huo bebana nap ..maana ukimuacha Nani atakayekuwa naye? Wewe kaa chini mpange jamaa muende kwa wazazi muwachane laivu na mkimaliza piga bonge la part funga ndoa ..ukimwi ni Kama malaria tu usiwaze ..baada ya miaka kumi Yani 2030 dawa itakuwa imepatikana hapo atapona kabisa.
 
Najaribu kufikiria kama ni mdogo wangu wa kike kabisa, halafu ameomba ushauri kama huu jibu lingekuwaje. Hapo jibu lingekuwa moja tu. ACHANA NAYE MARA MOJA NISIJEKUSIKIA.

Iko hivi, mara nyingi hali hii ikitokea wanaovumiliana ni pair mbili tu, yaani ikiwa wote ni waathirika au ni wanandoa tayari.

Lakini kwa wachumba tu tena uchumba usio rasmi mambo yanaweza kuishia hapa.

Jambo la msingi kama ulivyoshauriwa baada ya miezi mitatu nenda kapime. Na kwa sasa kwepa kukutana naye kimwili mpaka uthibitishe status ya afya yako. UKIKUTWA UKO SALAMA KIMBIA MBIO NDEFU.

Ushauri wote unaotolewa humu ni kwa kuwa hawakujui. Mdogo wangu kama ukipima utakuwa salama achana naye. Umia siku moja lakini ukawa na amani ya siku zingine zijazo, kuliko ukaitafuta amani ya sasa kwa msongo na maumivu ya the rest of your life. Wanawake ni wengi wenye status yake na ni wazuri atawapata. Ila kama ana pesa na ndizo unazotaka kujilipua nazo basi sawa kila la heri.
Sasa akmuacha jamaa katika Hali aliyonayo Nani mwingine wa kukaa naye. Hilo ni suala lake mwenyewe itabidi akubali kuishia naye tu ..maana anaeweza kumuacha mshikaji akapata balaa kubwa zaidi. Hero nusu Shari kuliko Shari kamili.
 
Sio mume wake wa ndoa huyo na si yeye aliyemuambukiza. Swala la kukubali kuishi naye ataamua yeye ila kwa mimi naona si sawa aishi maisha yake. Namna ya kuachana atafute mbinu. Na kama jamaa ni muelewa ataelewa tu. Upendo ni pamoja na kutorisk afya ya mwenzio. Sio lazima mtumbukie wote shimoni kama mmoja yuko humo tayari.
 
Nachokishauri hapa ni kimoja tu:

Kama hayuko tayari kuchagua sehemu atakayochukulia dawa na bado hajafanya maamuzi na still mnakutana katika tendo hili ni tatizo la ziada....

Kuna uwezekano ukapata maambuki 100% mshauri aanze dawa ili kupunguza kiwango cha maambuki ili aweze kukulinda kama anakujali na kukupenda kweli....

Au amedhamiria upate ndio afanye maamuzi

NDOA NI FUMBO, KIJANA KAMA HUJAKOMAA KULIJUA HILO FUMBO USITHUBUTU KUTIA MGUU AU HATA KIGANJA CHA KIDOLE
 
Na kwa jinsi ninavyoelewa wanaume na roho zetu atamwambukiza makusudi ili wawe saresare.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom