haa haa hivi kumbe unaweza jiunga leo kwenye chama na kesho ukawa mwenyekiti?
Daaahh!! Dunia hii jamani...tutaona mengi, Mkandara naye kawa kama Rutashobolwa!?? Pathetic!!
trust me, human's stupid decisions were made by chadema, for they thought this would be zzk end of his political carrier!
Hizo zote ni fitina za Chadema, taarifa zote tunazo
Wameshayaona mamilioni ya mabwana zao wanaowatumikia MACCM ili kufanya kazi ya usaliti waliotumwa kuisambaratisha CHADEMA. Kila kundi wanataka mamilioni hayo wawe na miliki nayo. Tusishangae wakianza kuuana kugombea mapesa ya bure toka kwa MACCM.
Hofu ya ZZK kufanywa mwenyekiti. Wasaliti wanamalizana.
Trust me, human's stupid decisions were made by Chadema, for they thought this would be ZZK end of his political carrier!
Trust me, human's stupid decisions were made by Chadema, for they thought this would be ZZK end of his political carrier!
Hofu ya ZZK kufanywa mwenyekiti. Wasaliti wanamalizana.