Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
Kwani Bavicha ndio wamefungua kesi?BAVICHA mnaiogopa sana ACT, sijui kwa nini.
Wasaliti ni wasaliti, watazidi kusalitiana daima.
Mabadiliko ni mpango wa Mungu, yeyote atakayekwenda kinyume nayo lazima laana imfike.
CHADEMA NGUVU YA MABADILIKO.
We nawe maamuzi yako huwa yanategemea hawara utakayempata siku hiyo!!akiwa cdm nawewe unakuwa huko,akiwa ccj na wewe hukohuko,akiwa ccm hukohuko!!!! Karibu Zitto atakufikia kwa umraya.Hata huko nako mnamfuata. Kweli anawauma.
Mnavyoshabikia mabaya yaikute ACT inaonyesha wazi chama hiki ni tishio kwenu.Kwani Bavicha ndio wamefungua kesi?
Hao wasariti kazi yao ni uharibifu, 'maana mtu huyo atafungwa jiwe la kusagia na atatupwa baharini''
Mnavyoshabikia mabaya yaikute ACT inaonyesha wazi chama hiki ni tishio kwenu.
Mnavyoshabikia mabaya yaikute ACT inaonyesha wazi chama hiki ni tishio kwenu.
Hili ni jukwaa huru habari yoyote ile inaweza kuletwa na kujadiliwa
Hakuna aliyesema isijadiliwe, ila comments zenu zinaonyesha hofu fulani mliyonayo juu ya chama hicho.
Wengi tunawajua kutokana na posts zenu za awali.wewe ndiyo wa kwanza kuongelea habari za bavicha unadhani wachangiaji humu wote ni chadema? kwanini mtu akiwa tofauti na ccm awe bavicha? wapo wengine wenye mitizamo huru hivyo waacheni......
haa haa duh, mbavu zangu mie!Hati halisi (original title deed) anayo Abrahaman Kinana. Yeye kama CEO wa ccm hayo ndiyo majukumu yake kutunza nyaraka muhimu hata za taasisi zao ndogondogo
Wengi tunawajua kutokana na posts zenu za awali.
.Mbona mpaka mumeo yupo ACT. Muulize vizuri atakuambia
Wengi tunawajua kutokana na posts zenu za awali.
ACT iwe tishio kwa nani chama hakijui hata mwenyekiti ni nani, msitafute kisingizio mchawi wenu yuko humo humo soon ataonyesha makucha yake.Mnavyoshabikia mabaya yaikute ACT inaonyesha wazi chama hiki ni tishio kwenu.
Hili neno maana yake nini? Naona naliona sana hapa JF ni neno KICHAGA ama?