Tulisubiri miezi ....wiki ...siku hatimaye siku ya kiama imefika .....ni siku ya Simba kutolewa kwenye michuano dhaifu ( loser cup) ubora wa kikosi Cha Simba hauwezi kuamua mechi Leo ....ni lazima kolo akandwe 2....0
Kama bado hujweka mkeka ..... hujachelewa bado ....beti Simba akandwe 2...0 .....then utanishukuru .....but usisahau kutoa sadaka Baada ya kumla mhindi
Sitasahau....ahadi ya ban ni π ( lazima).......GOD bless Stellenbosch [emoji23]
View attachment 3310077
Sent from my TECNO KG5j using
JamiiForums mobile app