Hatimaye yamebaki masaa machache Simba kukandwa heavily

Jiandae kushuhudia show ya kiume ikionyeshwa na Mnyama. Hiii sio game ya kitoto kama wanao cheza yanga. Tizama wanaume wa shoka wanavyo sakata kabumbu.wanaume kazini hivi punde.
Ubaya ubweeelaaaa
 
Simba ikishinda uje uchukue 200,000tsh

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tulisubiri miezi ....wiki ...siku hatimaye siku ya kiama imefika .....ni siku ya Simba kutolewa kwenye michuano dhaifu ( loser cup) ubora wa kikosi Cha Simba hauwezi kuamua mechi Leo ....ni lazima kolo akandwe 2....0

Kama bado hujweka mkeka ..... hujachelewa bado ....beti Simba akandwe 2...0 .....then utanishukuru .....but usisahau kutoa sadaka Baada ya kumla mhindi

Sitasahau....ahadi ya ban ni π ( lazima).......GOD bless Stellenbosch [emoji23]
View attachment 3310077

Hio techo inachaji naona inakusumbua kweli,unaweza muwekea sumu hata jirani yako wewe,wenyewe wamekuambia atakaesogea wanamvisha sanda Kazi kwako sasa
 
Tulisubiri miezi ....wiki ...siku hatimaye siku ya kiama imefika .....ni siku ya Simba kutolewa kwenye michuano dhaifu ( loser cup) ubora wa kikosi Cha Simba hauwezi kuamua mechi Leo ....ni lazima kolo akandwe 2....0

Kama bado hujweka mkeka ..... hujachelewa bado ....beti Simba akandwe 2...0 .....then utanishukuru .....but usisahau kutoa sadaka Baada ya kumla mhindi

Sitasahau....ahadi ya ban ni π ( lazima).......GOD bless Stellenbosch [emoji23]
View attachment 3310077

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Active Paw nawakumbusha hii utopolo isionekane baada ya mechi.
Nafuatilia.
 
Anku
Tulisubiri miezi ....wiki ...siku hatimaye siku ya kiama imefika .....ni siku ya Simba kutolewa kwenye michuano dhaifu ( loser cup) ubora wa kikosi Cha Simba hauwezi kuamua mechi Leo ....ni lazima kolo akandwe 2....0

Kama bado hujweka mkeka ..... hujachelewa bado ....beti Simba akandwe 2...0 .....then utanishukuru .....but usisahau kutoa sadaka Baada ya kumla mhindi

Sitasahau....ahadi ya ban ni π ( lazima).......GOD bless Stellenbosch [emoji23]
View attachment 3310077

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyo demu wenu Stella Anakufa 3:1 full time
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom