rafiki zangu wakenya uwa wananicheka sana,wanasema polisi wetu wa tanzania uwa wanasema " tafadhali naomba tuandamane wote kituo cha polisi" wakati polis wao wasema twende uku jin ga wewe,mtama....kipigo...kilungu,makofi...mkola wewe..
wanaume wa dar bure kabisa mnavyoogopa hao watoto eti mkiwasikia mnatoka mbio!!!, huku mikoan sisi wanaume tosha wangechezea ngumi za chembe tu mpaka wafe.