Hatimaye wadada nao tunaimba nao wimbo mmoja

WAZO2010

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,610
3,738
Habar ndg zangu.

Toka mwaka 2016 Vijana wa Kiume wamekuwa mstari wa mbele kupinga sera za uonevu, unyanyasaji na uminyaji haki na Demokrasia. Mfano Uhuru wa Mikutano ya kisiasa, Uhuru wa Kujieleza na Uhuru wa Vyombo vya habari na pia Bunge Live.

Maajabu hawa viumbe Wanawake (Wadada) wao walikuwa hawaoni kama ni haki zao za Msingi isipokuwa wachache sna (Mariah Sarungi, Shangazi Fatuma Karume, Wanaharakati baadhi, na baadhi ya Wadada wa CHADEMA).

Wao walizidi kujipidoa, kuvaa mawigi na kuomba na ya kutolea kwa kasi!! Sasa leo tunaimba nao wimbo mmoja wa BANDO (Vifurushi) na Master kwaya akiwa Dr. Faustine Ndugulile (Mbunge na Waziri pendwa CCM).

Mamia ya vijana wa kiume wapo Magerezani kwa ku kosoa na kupinga sera hizi kandamizi.

Naamini wanaume wa kutuma na ya kutolea na wao watakuwa wakali. Tshs 5000 una pata GB2.2. Dk 0 na Sms 0.

Nakushukuru sana Dr. Ndugulile. Hii imegusa kote. Na ita waamsha walio kuwa wamelala. Sasa wata anza kudai na haki zao zingine za msingi. Huenda ikawa ni njia nzr ya umma kuifahamu CCM na kujiandaa kuipumzisha 2025 iwapo wizi wa Dr. Mahera hautokuwepo.

Wadada msilalamike. Tulieni dawa iwaingie.
 
Noma sana
 
Back
Top Bottom