Hatimaye viongozi wa CHADEMA wamtembelea anayejiita ''Mdude CHADEMA''

Unapotengeneza uongo tumia hata hiyo akili ndogo ya kuvukia barabara uliyonayo , Chadema iko na Mdude kabla ya huo upuuzi wako wa kulazimisha posho za lumumba baada ya aliyekuwa anakulipa Humphrey Polepole kung"olewa .

Na ukiendelea kuleta ujinga tutakuanika kwa majina yako yote matatu , tunafahamu hutafanywa kitu lakini angalau mitaani utajulikana

Liwalo na liwe
Huyu jamaa ni mwajiriwa hapo Lumumba?

.. anyway ni jambo jema wao kumtembelea mwanachama wao.
 
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.

Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi wa CHADEMA kwenda kumuona anayejiita ''Mdude Chadema'' mahakamani wamefanya kwa mapenzi mema au tu kwenda ''kuuza sura'' baada ya kusoma mada yangu niliyoileta hapa na wachangiaji wengi kuwazodoa CHADEMA ambao kiuhalisia ndio waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia.

Kwa wale ambao hawakuisoma mada inayomhusu huyu anayejiita ''Mdude Chadema'' wanaweza kusoma kwa kugonga link hii;

Sitaki nionekane ninawatisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa ''mzigo wa matendo ya kijinga utaubeba peke yako!

Anayeonekana kutupa kisogo kwenye picha ni aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akiongea na anayejiita ''Mdude Chadema'' baada ya kufikishwa mahakamani.

EozqvqfXMAIKBbG
Yote Maisha ,yana mwisho!! Ukimtendea mwenzako mabaya lazima utalipwa machungu yake aliyopitia.
 
Baada ya kuleta mada hapa Jamiiforums na kuuliza hatma ya anayejiita ''Mdude Chadema'' hatimaye viongozi wa CHADEMA wameenda kumuona mahakamani.

Siwezi kusema kama kitendo walichokifanya viongozi wa CHADEMA kwenda kumuona anayejiita ''Mdude Chadema'' mahakamani wamefanya kwa mapenzi mema au tu kwenda ''kuuza sura'' baada ya kusoma mada yangu niliyoileta hapa na wachangiaji wengi kuwazodoa CHADEMA ambao kiuhalisia ndio waliokuwa wanampa sifa na kumshangilia.

Kwa wale ambao hawakuisoma mada inayomhusu huyu anayejiita ''Mdude Chadema'' wanaweza kusoma kwa kugonga link hii;

Sitaki nionekane ninawatisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa ''mzigo wa matendo ya kijinga utaubeba peke yako!

Anayeonekana kutupa kisogo kwenye picha ni aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akiongea na anayejiita ''Mdude Chadema'' baada ya kufikishwa mahakamani.

EozqvqfXMAIKBbG
Na wewe unajiita MsemajiUkweli!
 
Mdude si ni Lema au Rais wa Arusha aliyekimbia nchi kwenda kushikishwa ukuta majuu kwa mabeberu
 
Viongozi wa Chadema mkoa wake walikuwa wakimtembelea Mdude kila mara gerezani, wacha kupotosha eti baada ya kuleta mada hapa.

Na last time wameenda kumtembelea aliwaambia wampelekee truck suit na raba kwa ajili ya kufanyia mazoezi, jamaa yuko poa kabisa, anatimiza kile moyo wake ulichomtuma, wewe endelea kupiga kelele.
kwa nini wakati huo hamkuweka wazi kama mlivyofanya wakati huu?? Kwanini usikubali tu ukweli kuwa hamkutumia uungwana kumwachaniza ndugu yenu??
Badilikeni ndugu zangu
 
Back
Top Bottom