SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,318
- 1,936
Yaani inaudhi kweli, wamekalia kunyima kibali tuu badala ya kupeleka wataalam wakaikague kama ni salama kupaa nayo na kama inauwezo wa kupaa kweli...Kweli mi-afrika tumelaaniwa kibali tu kina shida gani? Kama wao si matubani nchi si ina marubani wengi tu kwa nini isichukue rubani ambaye tayari amesomea ili kushirikiana nao?