Hatimaye Vijana wa Zanzibar watengeneza Helicopter, Serikali yawanyima Kibali cha kupaa angani hadi Wasomee Urubani

Wazitengeneze kama 100 hivi ili zikasaidiane na bombardier zetu kupunguza tatizo la usafiri wa anga nchini
 
Kuna watu wakati wanajaribu kugundua nuclear. Walikufa wakiwa kwenye majaribio.
laiti kama na wengine wangekuwa waoga baada ya kujua wenzao wamekufa kwa sababu ya nuclear. Leo hii tusingeijua nuclear
 
Wanapoizungusha jioni au usiku wa manane wachukue video ili tuamini la sivyo itakuwa sawa na ile ya CCM ambayo hata haikuwaka wakati wa uzinduzi ikawa ni aibu tupu
Yaani unataka wajishitaki? Unakumbuka yule trafiki alikamatwa Zanzibar akipokea ushwa? alijiekodi.
 
akina Isaack Newton wangesubiri vibali sijui hali ingekuaje...! hapo waziri wa mambo ya ndani akishirikiana na mamlaka ya anganga na jeshi wangewatengea eneo maalumu la kufanya majaribio yao sasa vibali kisa kusujudu chopa za weupe
 
Yaani unataka wajishitaki? Unakumbuka yule trafiki alikamatwa Zanzibar akipokea ushwa? alijiekodi.
Basi bwana hadi nitakapoiona inapaa ndipo nitakubali. Nimejaribu kuchungulia ndani inaonekana minyaya ipo wazi ingawa bodi imesukwa nadhani ni mfano wa chopa si chopa inayoruka. Hivi unajua Tomaso alifia india na alizikwa sehemu inaitwa thomas mount
 
Wangeipaka rangi ya CCM tu halafu waseme UVCCM waunda helicopter basi mchezo ungekua umeisha asubuhi tu.
 
Basi kama ndivyo serikali inaona izuie uingizaji wa vifaa vya kutengenezea hicho chombo pia hata mafuta yake yasiuzwe kwa watu binafsi
 
Waende shule kwanza....hatutaki wapewe vibali bila ithibati ya kitaaluma halafu kukitokea maafa serikali ilaumiwe kwa uzembe....
Mawazo km haya ndiyo yamesababisha bara la Africa likaitwa bara giza. Na Mungu hakukosea kutuumba weusi.
Ukifuatilia historia ya wazungu, nao walianza km hivi na mwisho wa siku wakatengeneza vitu vyenye uwezo mkubwa. Ngozi nyeusi ishalaaniwa tangu zamani. Ni rahisi sana kumfundisha ujinga mwafrika kuliko mzungu.
Nachukia sana kuzaliwa Africa na kuwa ngozi nyeusi. Wafrika ni watu wajinga sana
 
Znz wapo juu kwa kila kitu kutuzidi wabongo,,,, natamani mno wajitawale,, waondokane na utawala wa kibabe wenye rangi ya mgomba

So wapewe kibali dude litestiwe.....
 
Back
Top Bottom