Hatimaye Vijana wa Zanzibar watengeneza Helicopter, Serikali yawanyima Kibali cha kupaa angani hadi Wasomee Urubani

Mkuu heshima yako mkuu.....
Umemaliza mpaka ukoko..
Ibaki ile tabia ya asili ya kukubali vya kina waleèe...kuwa wao ndio kila kitu tu.
Kutawaliwa kubaya asee....
 
Nahisi ni sheria za kikoloni kudumaza maendeleo. Kuna jamaa Tunduma anaitwa Adam alizuiliwa eti baadae anapewa kibali asiendeshe zaidi ya mita 3 juu
 
Nchi za wenzetu hawa wanasadiwa kwetu ukitengeneza bunduki unakamatwa
Nchi ya kifala sana hii kila anaejitahidi kutengeneza kitu anazuiwa .... Na si mmoja wapo wengi kama hao walio wekewa figisu...

Hatuendelei kamwe kwa namna hii
 
Hili ni jambo jema..ushauri..kwa teknolojia ya sasa ukigundua kitu ambacho ni hatari kwa maisha yako huhitaji kujitoa mhanga badala yake tumia mbinu kama vile kutumia roboti au remote controll n.k. Hapo ndipo inapokuja haja ya kushirikisha taaluma zingine. Lakini pia wajitahidi kuifanya simple zaidi iwe kama pikipiki ili iwe na soko hasa Africa. Tumeshuhudia bodaboda zilivyobadili maisha ya vijana. Hii ikifanikiwa iwe ni bodaboda inayopaa ili tuwapiku waliotangulia kuzigundua helcopter kwa kuzalisha nyingi na kuziuza kwa bei ndogo.
 
Kama kuna vitu serikali imesema anatakiwa avitimize anatakiwa kuwasumbua kwa kupanda ngazi kivyeo. Mfano unaanza kwa DC, akizingua nenda kwa RC, ukikwama nenda kwa Waziri, Hadi kwa Rais. Hakikisha maono uliyonayo hayauawi na wasio na maono.
 
Back
Top Bottom