NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,019
- 3,987
Nchi za wenzetu hawa wanasadiwa kwetu ukitengeneza bunduki unakamatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hukuweka inayoruka hata futi moja?
wengine hawa hapa. Una swali?Wngeliwasha hata tulione panga boi lake
basi wajiandae kusema takbir!!!..Nina uhakika hawajaweka.
Wapemba na Jesus wapi na wapi???
Hivi waliovumbua toyota walienda tena shule kwasababu Benz ilishagunduliwa?Jiongeze kijana.....unawatia aibu wazazi wako....
Wamekataliwa kurusha angani kwa kuwa hawana taaluma ya urubani....
Halafu....hapo pana ugunduzi....unagundua kutengeneza chopper leo....?
Huko shule ulienda kusomea ujinga...?
Hizi ndizo hatua ya kufikia advanced technology. Wazungu walianza kweny steam engine mpaka kweny gas/oil engine. Hawa vijana wangepewa support tungefika mbali.kwanza niwasahihishe baadhi ya wachangiaji, hapo wameandika "wametengeneza" na sio "wamevumbua"
katika science haswa maswala ya engineering trial and error phase ni kitu ambacho hakiepukiki ,stage hii ni lazima uipitie ili uweze kugundua performance,safety,quality of such stuff ili kama kuna kasoro ulifix au ikiwezekana u upgrade kabisa
so kitu walichofanya hawa vijana wenzangu wa zanzibar na kuungwa mkono na kupewa sapoti ili waweze kufika malengo yao , Au Hatupendi kusikia/kuona neno MADE IN TANZANIA
nawapongeza sana japo wanapata changamoto toka serikalini ila naomba wasife moyo tutafika tu hata tukichelewa Waafrika tunajua mapungufu yetu
Upo sahihi mkuu.Hivi waliovumbua toyota walienda tena shule kwasababu Benz ilishagunduliwa?
Au wavumbuzi wa bastola walienda shule kwakuwa kulikuwa na smg?
Tha ensue niii!!! watumishi wengi wa serikali wanawaza kwa kutumia naniliiii...
Tena jamaa anakwambia alishagundua gari dogo wakamwacha sasa ingekuwa kwa wenzetu leo could talk kitu kingine kuhusu yeye
Naaa!! ina maana ni jambo dogo sana kafanya hadi wakashindwa kumsomesha wao wenyewe serikali? Yaani wamempuuzia kama vile katengengeneza baiskeli ya miti
Si angetutengenezea helicopter ya brand yetu huyu.
Serikali ???! Mi nawadharau sana wafanyakazi aise
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
hahaaa ...wamuombe yesu wann ..watasema allahu akbaruView attachment 671341
Hao vijana wameweka na hiyo bolt?.
waveja tatakwanza niwasahihishe baadhi ya wachangiaji, hapo wameandika "wametengeneza" na sio "wamevumbua"