WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 623
Kweli mi-afrika tumelaaniwa kibali tu kina shida gani? Kama wao si matubani nchi si ina marubani wengi tu kwa nini isichukue rubani ambaye tayari amesomea ili kushirikiana nao?
Umeandika point sana....Mawazo km haya ndiyo yamesababisha bara la Africa likaitwa bara giza. Na Mungu hakukosea kutuumba weusi.
Ukifuatilia historia ya wazungu, nao walianza km hivi na mwisho wa siku wakatengeneza vitu vyenye uwezo mkubwa. Ngozi nyeusi ishalaaniwa tangu zamani. Ni rahisi sana kumfundisha ujinga mwafrika kuliko mzungu.
Nachukia sana kuzaliwa Africa na kuwa ngozi nyeusi. Wafrika ni watu wajinga sana
Kill yourself kama unajichukia mkuu....none of us will cry for you....Mawazo km haya ndiyo yamesababisha bara la Africa likaitwa bara giza. Na Mungu hakukosea kutuumba weusi.
Ukifuatilia historia ya wazungu, nao walianza km hivi na mwisho wa siku wakatengeneza vitu vyenye uwezo mkubwa. Ngozi nyeusi ishalaaniwa tangu zamani. Ni rahisi sana kumfundisha ujinga mwafrika kuliko mzungu.
Nachukia sana kuzaliwa Africa na kuwa ngozi nyeusi. Wafrika ni watu wajinga sana
Pamoja mkuuUmenichekesha sana
Mapumba aliyo andika ndio point wote ni wagonjwa mnahitaji tibaUmeandika point sana....
Ova
Kwa nini usiseme umelaaniwa wewe?Kweli mi-afrika tumelaaniwa kibali tu kina shida gani? Kama wao si matubani nchi si ina marubani wengi tu kwa nini isichukue rubani ambaye tayari amesomea ili kushirikiana nao?
Huu utakua utani....kuna vitu havibahatishwi...Mbona hukuweka inayoruka hata futi moja?
Sasa hawa wanavumbua nn kitu ambacho maelfu ya watu duniani wanafanya tayari...hawatakua na ..research gap ni kitu muhimu sanaKuna watu wakati wanajaribu kugundua nuclear. Walikufa wakiwa kwenye majaribio.
laiti kama na wengine wangekuwa waoga baada ya kujua wenzao wamekufa kwa sababu ya nuclear. Leo hii tusingeijua nuclear
South AfricaHivi yule Mtaalam wa mbeya aliyevumbua chopa kama hii yuko wapi waungwana
Aiaee wewe ni bweege shule kusomea ugunduzi wao? Hahaa haaaaWaende shule kwanza....hatutaki wapewe vibali bila ithibati ya kitaaluma halafu kukitokea maafa serikali ilaumiwe kwa uzembe....
View attachment 670988
Katika hali isio ya kawaida au kuzoeleka kwa mara ya kwanza visiwani Zanzibar kumetengezwa ''helicopter'' ambayo ina uwezo wa kuruka angani kama zilivo nyengine.
Omary said Omary amesema anachosubiria sasa ni vibali kutoka Serikalini ili aweze kupaaa angani.
Amesema Serikali huwa inawazuia kupaa eti hadi wakasomee urubani na yeye anasema kusomea urubani ni gharama sana. Kila siku wanaomba kibali waweze kupaa na Chopa yao lakini wananyimwa.
Amesema waliwaambia kama wao hawataki ipae basi waje wao wanaojua urubani wapae nayo angani lakini wamekuwa wakizungusha zungusha hawataki kuja.
Omary said Omary amesema yeye na Baba yake washawahi kutengeneza Gari mbili, Mashine ya kutotolea vifaranga na Baloon kama ile wnayotumia watalii.
Lakinii hiyo baloon Serikali iliwakataza kuitumia kwa sababu hawana vibali na Serikali haitoi Vibali.
Hivyo Wameiomba Serikali iache kuwazungusha kuwapa Kibali.
Habari zaidi angali ahii Video.
Hao waliyosoma Hata kutengeneza gari la box/bati la toy wameshindwa ......Wametengeneza au wameigiza helikopta? Helicopter zilishatengenezwa zamani, kwa hiyo hakuna jipya hapo. Wapate vibali vinavyohusika wapae na helicopter yao. Makelele yote haya ya nini?
Wangeipaka rangi ya CCM tu halafu waseme UVCCM waunda helicopter basi mchezo ungekua umeisha asubuhi tu.