Hatimaye Vijana wa Zanzibar watengeneza Helicopter, Serikali yawanyima Kibali cha kupaa angani hadi Wasomee Urubani

wabongo bwana ..kakukatishana tamaa ndio wanachokijua..yaani watu wamejidhatiti nakujituma mpka wamefikia hpo walipo mnaanza kuwakashifu nakuwadharau aiseeee
hata kama sio wao waliowahi kugundua chopper lakini hiyo hatua waliyofikia nihatua nzuri kwaanaye jifnza ili aweze kufikia hatua yakubuni kitu chake ...so hao walipaswa kuchukuliwa nakupewa muongozo imara kielimu ili waweze kufikia katk malengo stahiki ""
leo wametngeneza chopper IPO siku wataunda kitu kikubwa kipya kwaajili yaanufaa yataifa ..walichokifnya nimoja ya stage ya kujifnza pia
 
Hilo kama kweli LA kumkataza kurusha sikubaliani nalo ulaya na marekani home made helikpters watu hurusiwa kuzirusha bila kikwazo chochote wakiwa hawana mafunzo ya urubani au nini.wanaamini kwenye kuchochea vipaji.Waliogundua ndege hawakuwa maruban na hawakuwa wamesoma shule ya urubani .Kijana aachwe arushe Mimi Niko tayari kupanda naye Ndani kama abiria.Wenzetu huwaruhusu kurusha hadi kwenye viwanja vya ndege zao.
 
Wasije kutumia injini za kampuni za watu tu.
Kams kia kifaa wameunda wao hongera sana. Na hapo serikali inapaswa kuwapeleka shule ili kuwaunga mkono.
 
Hivi serikali aijui inauwa kabisa innovation and creativity kwa wananchi wake, waach uoga bwana kila chenye mafanikio kina risk kubwa sana, sasa wao wanaofia nini........ ndo maana itachukuwa muda mwingi sana kuendelea.
 
Waende shule kwanza....hatutaki wapewe vibali bila ithibati ya kitaaluma halafu kukitokea maafa serikali ilaumiwe kwa uzembe....
Proffession ndio kitu gani?hawa ambao kazi yao kuendesha magari ya mzungu tu na kupanda ndege za wazungu ? Hawajawahi tengeneza gari wala helikopta .wagunduzi wa magari na ndege kwa taarifa yako hawakusoma hata ufundi chuo cha VETA baada ya kugundua ndipo wanaojitia wasomi wakajitia kuingilia.Wasomi siku zote huwa nyuma Wagunduzi huwa ahead ya wasomi Bily gate aligundua ma software ya komputa wasomi wakiwa wanakoroma.Baada ya kugundua ndio wanajitia maprofesa wa software za billy gates ambaye sio msomi.
 
Hilo kama kweli LA kumkataza kurusha sikubaliani nalo ulaya na marekani home made helikpters watu hurusiwa kuzirusha bila kikwazo chochote wakiwa hawana mafunzo ya urubani au nini.wanaamini kwenye kuchochea vipaji.Waliogundua ndege hawakuwa maruban na hawakuwa wamesoma shule ya urubani .Kijana aachwe arushe Mimi Niko tayari kupanda naye Ndani kama abiria.Wenzetu huwaruhusu kurusha hadi kwenye viwanja vya ndege zao.
Unauhakika na hili mkuu? Anga la Marekani lina restrictions nyingi sana.
FAA Regulations

Hawa wanakataliwa kutokana na usalama wao pamoja na raia wanaowazunguka, ili ukae angani lazima uelewe namna ya kuwasiliana na waongoza hivyo vyombo, si suala la kupaa tu anaweza akasababisha maafa makubwa.
Wafuate taratibu hata kama zinawazungusha.
 
Wasije kutumia injini za kampuni za watu tu.
Kams kia kifaa wameunda wao hongera sana. Na hapo serikali inapaswa kuwapeleka shule ili kuwaunga mkono.
Hawahitaji kupelekwa shule waruhusiwe kurusha helikopta yao.wameitengeza tofauti na zilizopo sokoni kwa nini walazimishwe kwenda kusoma mfumo wa helikopta zilizopo wakati zao walizogundua ziko tofauti? Anga LA Zanzibar si kwa ajili ya helikopta na ndege za wazungu tu.Ni anga LA wazanzibari huyo mzanzibari aruhusiwe kurusha helikopta yake.Uhuru tuliutaka wa nini kama RAIA haruhusiwi kurusha helikopta yake kwenye anga lake?
 
Unauhakika na hili mkuu? Anga la Marekani lina restrictions nyingi sana.
Hawa wanakataliwa kutokana na usalama wao pamoja na raia wanaowazunguka, ili ukae angani lazima uelewe namna ya kuwasiliana na waongoza hivyo vyombo, si suala la kupaa tu anaweza akasababisha maafa makubwa.
Wafuate taratibu hata kama zinawazungusha.

USHAHIDI WA KWANZA HUU HAPA TOKA KENYA WALIRUHUSU ALIYEGUNDUA NDEGE AIRUSHE HAJASOMEA URUBANI WALA NINI

Unauhakika na hili mkuu? Anga la Marekani lina restrictions nyingi sana.
FAA Regulations

Hawa wanakataliwa kutokana na usalama wao pamoja na raia wanaowazunguka, ili ukae angani lazima uelewe namna ya kuwasiliana na waongoza hivyo vyombo, si suala la kupaa tu anaweza akasababisha maafa makubwa.
Wafuate taratibu hata kama zinawazungusha.

HAPO NI UINGEREZA MTU ALIGUNDUA HELIKOPTA INAYOENDESHWA NA BAISKELI ALIPEWA NAFASI YA KUIRUSHA UWANJA WA NDEGE KABISA HAKUSOMEA URUBANI WALA NINI.BBC WALI LICOVER TUKIO LIVE

Hawa ilikuwa wapelekwe vitengo vya ufundi au ugunduzi...lakini kwa hapa kwetu...hatuhitaji wanasayansi au kujijengea uwezo wa kufanya yetu wenyewe..mpaka aje wa kutoka bara pendwa!
Wametuweza kweli wale jamaa!
 
Hawa ilikuwa wapelekwe vitengo vya ufundi au ugunduzi...lakini kwa hapa kwetu...hatuhitaji wanasayansi au kujijengea uwezo wa kufanya yetu wenyewe..mpaka aje wa kutoka bara pendwa!
Wametuweza kweli wale jamaa!I
 
Wao wawe wahandisi tu, kuiusha watafute marubani, kama watakubali, na wawawekee bima ya kueleweka.
Tumia akili wanatakiwa watesti wenyewe ili waweze kipambana na hitilafu zitakazojitokeza. Unashauri wampe rubani ambaye amesomea chombo chenye utaratibu kwenye makaratasi aendeshe ndoto ya mtu?
Rubani anatakiwa afundishe na mbunifu ova.
 
Hawa ilikuwa wapelekwe vitengo vya ufundi au ugunduzi...lakini kwa hapa kwetu...hatuhitaji wanasayansi au kujijengea uwezo wa kufanya yetu wenyewe..mpaka aje wa kutoka bara pendwa!
Wametuweza kweli wale jamaa!I
Tatizo wasomi wetu wanajua zaidi ya wazungu kuliko ya nchini kwao.Teknolojia ya mzungu ndio imejaa vichwani kwao na ndio wanaishobokea.Hii ya mswahili ya kuunga mabati ya kuokota jalalani na kufunga nchini ya pikipiki kutengeneza helikopta hawataki hata kuisikia.Angekuwa mzungu kaokota mabati jalalani kutengeneza helikopta na kutumia injini ya pikipiki ungesikia vingereza ambavyo wasomi wetu koko wangemwaga kumsifia huyo mzungu ungesikia he is first an eviromentalist wa kuigwa duniani kwani anahakikisha mazingira yanakuwa safi na kuhakikisha matataka hayo ya mabati yanakuwa recycled for the higher benefit of human kind kwa kutengeneza helikopta.Na kutumia injini ya pikipiki kutengeneza helikopta he is a greatest innovator of our times he should be given a Nobel prize for his extraordinary innovation. Mswahili akigundua wanaishia kumwita bwege tu yule hawa pay hata attention kwa alichogundua.
 
Tumia akili wanatakiwa watesti wenyewe ili waweze kipambana na hitilafu zitakazojitokeza. Unashauri wampe rubani ambaye amesomea chombo chenye utaratibu kwenye makaratasi aendeshe ndoto ya mtu?
Rubani anatakiwa afundishe na mbunifu ova.
Hata bombardier zetu tulizonunua waligundua na kuzitengeneza wakanada ndio waliwaita marubani tena wenye leseni wa ATC waende wakawafundishe kuendesha hizo ndege zao Mpya walizogundua na kutengeneza.Marubani wa Tanzania na ulimwengu wanatakiwa waende kwa huyo kijana aliyetengeneza hiyo helikopta awafundishe namna ya kuiendesha. Mbona ndege zao na helikopta zao wakishazitengeneza mbona hutaka watu wakafunzwe kwao? Huyo mgunduzi aanzishe chuo kabisa cha urubani wa kurusha hiyo helikopta yake.hatakiwi kupelekwa kusomea urubani ila marubani ndio waende kwake kujifunza .Wamwache kijana arushe helikopta yake angani
 
Back
Top Bottom