Hatimaye tunaingia mwaka mbaya kabisa; 2022

jeffvlar

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
217
364
Poleni na starehe za sikukuu.
Hatimaye tunaingia mwaka mbaya kuanzia mabidiliko ya tabia ya nchi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja nyumbani.
Sipendi kuidanganya nafsi yangu, na pia nawasihi hivyo. Ni bora kujipanga mapema usiseme hatukukwambia.
 
Tafsiri la neno ubaya linatofautiana na mtu na mtu.

Mfano mwaka wa vifo vingi mtaani kwenu ni neema kwa mwenye kijiwe cha kuuza jeneza hapo mtaani. Kwenu mwaka ni mbaya ila kwake Alhamblulillahi.
 
Poleni na starehe za sikukuu.
Hatimaye tunaingia mwaka mbaya kuanzia mabidiliko ya tabia ya nchi mpaka maisha ya mtu mmoja mmoja nyumbani.
Sipendi kuidanganya nafsi yangu, na pia nawasihi hivyo. Ni bora kujipanga mapema usiseme hatukukwambia.
Baba Nuhu jenga safina baba jenga, tunakuamini tutaingia humo na mbegu za wanyama kwa kila aina isije gharika ikatukuta wakati mlango utafungwa!

Waache waendelee kuwatamani malaika!,🤗🤗🤗🤗🤗
 
Ninayo imani mwaka unao anza 20 22 ni mwaka mwema kwangu.
Imani??
Ukiwa na imani tu mwaka utakua mzuri, kuanzia global warming itaisha mpaka uchumi wako utakua wakutosheleza ipasavyo.
 
Nadhani muhimu nikufanya kazi sana na kujaribu kila namna na kila fursa bila kukata tamaa. Ukifanya hivi mwakani utakua mgumu tu kwa sababu unatafuta.
 
Imani??
Ukiwa na imani tu mwaka utakua mzuri, kuanzia global warming itaisha mpaka uchumi wako utakua wakutosheleza ipasavyo.
Hueleweki!!!

Nini hasa content yako hapa kwenye uzi wako?unadhani tunafanana maisha?kwanini unakuwa mwepesi kuamini kwamba matatizo yako wewe au matatizo ktk familia yako lazima wote duniani tuwe nayo?

Mzee punguza stress,naamini unaweza kufikiri vizuri zaidi ya ulivyofikiri hapa.
Good luck!
 
Back
Top Bottom