Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,251
- 5,323
Ibabidi nichape kazi kwa mujibu wa utaratibu huu mpya ulioanzishwa wa kunyimwa haki zetuUmesikika, sasa chapa kazi kwa bidii juhudi na maarifa
tehteh pole mkuu, wape hi makamanda hapoBora hata ninyi sisi KK security bado...
Wakubwa mko poa?leo jamaa kaingiza fedha ila cha kusikitisha hakuna badiliko lolote kwenye salary,inauma sana,sikuamini kama mwaka utakatika bila ya kupewa haki yetu ya kikatiba,ila poa wacha tuisome ili akili zitukae sawasawa kwa 2020,happy 2017
Yaani serious kweli unanipa POLE YA MDOMO wakati alieniumiza KAFANYA VITENDO.poleni watumishi wa umma huu mwaka mmenyanyasika sana kwa manufaa ya taifa
vitendo siwezi kwa sasa chukua ya mdomoYaani serious kweli unanipa POLE YA MDOMO wakati alieniumiza KAFANYA VITENDO.
Sasa mwaka gani?si tupo kwenye mwaka wa serikali?huu sio mwaka wa serikali!
mwaka wa serikali unaishia 30/6/ ya kila mwaka. sasa kwa mantiki hiyo mwaka wa serikali bado mbiiiichiiiiiiiiiSasa mwaka gani?si tupo kwenye mwaka wa serikali?
Yaani wabunge tangu sept wanakutana kujadili bajet ya 17/18 wewe unasema mwaka bado mbichi.mwaka wa serikali unaishia 30/6/ ya kila mwaka. sasa kwa mantiki hiyo mwaka wa serikali bado mbiiiichiiiiiiiii
vitendo siwezi kwa sasa chukua ya mdomo