Hatimaye tunafunga mwaka bila ya nyongeza ya mshahara

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
5,247
5,315
Wakubwa mko poa?

Leo jamaa kaingiza fedha ila cha kusikitisha hakuna badiliko lolote kwenye salary, inauma sana, sikuamini kama mwaka utakatika bila ya kupewa haki yetu ya kikatiba.

Ila poa wacha tuisome ili akili zitukae sawasawa kwa 2020, happy 2017.
 
Jinsi mambo yanavyoenda ni kama wanasema mtajijua wenyewe sisi mbele kwa mbele.
Wakubwa mko poa?leo jamaa kaingiza fedha ila cha kusikitisha hakuna badiliko lolote kwenye salary,inauma sana,sikuamini kama mwaka utakatika bila ya kupewa haki yetu ya kikatiba,ila poa wacha tuisome ili akili zitukae sawasawa kwa 2020,happy 2017
 
Kauli hyo inanikera kupta kias, unanunua ndege watu wanakufa kukosa dawa hospt, mshahara duni, AJIRA Mpya hakna mwaka mzma! Matamko yenu yalishatuchosha, ndege mnafafanua mpaka tar ya kufka lakn mkiulzwa Ajira Mpya,kupanda madaraja, ongezeko mshahara watu wakiulza mnasema uchochez!

Binafsi naona mbwembwe na mnafanya mambo kwa kutaka sifa! Tena muda mwingne sifa za kijinga!
 
mwaka wa serikali unaishia 30/6/ ya kila mwaka. sasa kwa mantiki hiyo mwaka wa serikali bado mbiiiichiiiiiiiii
Yaani wabunge tangu sept wanakutana kujadili bajet ya 17/18 wewe unasema mwaka bado mbichi.
Mwaka ndo ushakatika huu mdau,kama mpaka leo pesa za maendeleo hazijafika destination husika maana yake mirad ishalala hiyo,hiyo 30/06 ndo watu wanakula chenjichenji tu
 
Inamaana huwa humuelewi kila siku nawaimbia humu JF
ya kwamba huyu jamaa yenu MAGUFURI ni muongo,

Oooh sijui bado tunafanya nini.!!??
Sasa kama unalipwa mshahara kila mwezi unashindwaje kuongezwa
anyway serikali yangu ina hela..!!??
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom