Miaka 7 bila ya nyongeza Leo kaongezwa unazuia mshahara ni mateso

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
853
1,005
Habari Ndugu watanzania.

Kwa masikitiko makubwa naandika andiko hili munipe ushauri.Mdogo Wangu anafanya kazi shirika binafsi linaloshirikiana na serikali.

Mwezi Aprili alipishana maneno na bosi wake katika matumizi ya gari la ofisi.Aliakamnyima. akatekeleze majukumu kijijini bosi akamnyima.

Kazi iliposhindikana bosi akamlaumu mdogo Wangu Kwa uzembe japo Mdogo Wangu hakuomba mafuta alikuwa tayari kutoa pesa yake.

Bosi akampeleka Mdogo Wangu Kwa wakubwa hivi ninavyoandika Mdogo Wangu yupo hatua za mwisho kuzuiliwa mshahara wake.Miaka saba ya uvumilivu bila nyongeza Leo nyongeza ya mama Samia hataifurahia.

Naombeni ushauri wenu nimsaidiaje au niripoti wapi nyanyaso hili?
 
Shida inaanzia hapo 'alipishana maneno na boss wake'!

Sijui kwanini watu tukiwa na kazi huwa tunajisahau. Kwanini apishane maneno na boss wake? Kama aliona ananyimwa gari tena kwa kwenda kufanya kazi ya shirika si angeachana na hiyo kazi, na utetezi anao kabisa hana gari. Shida wabongo kuna zile za boss anajifanya kunitisha hanijui mi kauzu! Haya sasa hakuna cha kulalamika hapa.

Watu wakiwa hawana kazi ni wapole sana ila wakiwa kazini wanajifanya manunda.

Bwana we mi hapa namlaumu mdogo wako au kama ni wewe mwenyewe mi nakulaumu wewe. System za kazi afrika yetu bado Boss anashikilia maisha yako tusitake tutake.
 
yaani unapishana maneno na boss, hili lisijirudie
 
Sasa nyongeza ya Samia inausiana vipi na watumishi wa private? hamna kitu hapa
 
Shida inaanzia hapo 'alipishana maneno na boss wake'!

Sijui kwanini watu tukiwa na kazi huwa tunajisahau. Kwanini apishane maneno na boss wake? Kama aliona ananyimwa gari tena kwa kwenda kufanya kazi ya shirika si angeachana na hiyo kazi, na utetezi anao kabisa hana gari. Shida wabongo kuna zile za boss anajifanya kunitisha hanijui mi kauzu! Haya sasa hakuna cha kulalamika hapa.

Watu wakiwa hawana kazi ni wapole sana ila wakiwa kazini wanajifanya manunda.

Bwana we mi hapa namlaumu mdogo wako au kama ni wewe mwenyewe mi nakulaumu wewe. System za kazi afrika yetu bado Boss anashikilia maisha yako tusitake tutake.
Hii story ukiitafakari essence yake utapata majibu 🤣🤣
 
Umesoma juu juu kipo kitu mm ni mfanyakazi wa serikali nafanya kazi ktk shirika binafsi yaani team work na private. Nalipwa na serkali wewe
Ndo maana Nasema thread Yako Haina logic kabisa,
1- Umejenga hoja kumuhusu mdogo wako, now unasema ni wewe ndo mhusika,how can it be possible?
2-Mwanzo ulisema mdogo wako kaajiriwa private; lakini kwenye defence unasema wewe ndo umeajiriwa na gvt, vina uhusiana vp sasa?
 
AISEE MI NAONA LBDA MHUSIKA WA HII THREAD NA HILO TATIZO NI YEYE, HIYO MDOGO WANGU NI GERESHA
 
Back
Top Bottom