Ugalatia ni utapelitapeli tu, watu wanaaminiwa kuliko hata huyo Mungu utatu wao kuwa na miujiza! Mtihani sana kwakweli, Allah sw tunusur waja wako-wengi hawakujui kwa sifa zako!
Mbona Biblia imeshakuzungungumza hata kabla hujazaliwa, Kama huwezi kukubali kwamba unayemwabudu ni shetani, utaanzaje kumjua Mungu?
Endelea kuabudu hilio shetani linalokuahidini kwamba mwende tu motoni litakapotia mguu wake kule eti litakuja kuwaokoa!.