Hatimaye TB Joshua afichua siri zake!

Hatimaye TB Joshua afichua siri zake!

U

umeanza vibaya ukamalizia vizuri. Dini ni imani hivyo huwezi kusema ni utapeli. Kama huna imani huo ni uamuzi wako na Kama kuna mwenye imani ni uamuzi wake. Dini ni kitu kizuri lakini nikiri kuwa kuna wahuburi wa uongo ambao ni wengi tu.
Nimeandika kiuanasheria zaidi, huwezi kuelewa style hiyo.

Nimeanza na conclusion halafu nikaweka arguments na equivocations.
 
Mambo ya Rohoni hujulikana kwa jinsi ya Rohoni, hivyo kwa akili za kawaida tu huwezi kumjua mtumishi aliyetumwa kweli na Mungu, tisiwakashifu hawa watu Kwa kuwa kama ni kweli wametumwa na Mungu basi tutakuwa tunamchukiza aliyewatuma kwetu
 
Dini zote za vitabuni ni utapeli.

Hakuna Ugalatia wala Uyahudi wala Uislamu.

Zote Kamba tupu.

Ndiyo maana unaambiwa ni mambo ya Imani, uamini au uache, hutakiwi kuchunguza sana.

Ukichunguza sana utajua ukweli.
Dini zipi ambazo si za vitabuni si utapeli?
 
Ugalatia ni utapelitapeli tu, watu wanaaminiwa kuliko hata huyo Mungu utatu wao kuwa na miujiza! Mtihani sana kwakweli, Allah sw tunusur waja wako-wengi hawakujui kwa sifa zako!
Alqaeda
 
Waislam wanatangaza amani huku wameficha upanga kiunoni
Na hao wanao tumia mabomu huku wanatangaza amani huwaoni. Wanao kulana tigo midume kwa midume ndio amani na Mapenzi ya Bwana. Ngoja waje huku muungane nao
 
dini=kamba
utapeli=kamba
siasa=kamba
use your brain for the maximum.
 
U

umeanza vibaya ukamalizia vizuri. Dini ni imani hivyo huwezi kusema ni utapeli. Kama huna imani huo ni uamuzi wako na Kama kuna mwenye imani ni uamuzi wake. Dini ni kitu kizuri lakini nikiri kuwa kuna wahuburi wa uongo ambao ni wengi tu.
Sasa tupate kauli ya hitimisho. Dini vs Utapeli. Ninini kifanyike kuondoa tatizo?
 
Sasa tupate kauli ya hitimisho. Dini vs Utapeli. Ninini kifanyike kuondoa tatizo?
Mimi binafsi naamini kuwa Mungu yupo na Imani yangu ni yangu mwenyewe siwezi kuwa influenced na mtu yoyote awe mhubiri au la. Watumishi wa Mungu wapo wa aina mbili wale walioitwa katika kazi hii na wale ambao wanafanya hii kazi kwa kuwa hakuna alternative nyingine. Hilo kundi la pili ndio wanakuwa matapeli kwani pesa ndio wito wao. Kuna wale walioitwa lakini baadaye wanaanguka kwa sababu ya pride kama yuda. Ukiona kanisa hakuna mafundisho ya neno la Mungu badala yake mkazo umewekwa kwenye kuonyesha uwezo wa kufufua watu waliokufa na kadhalika hapo jua hakuna Mungu bali inatafutwa sadaka tu. Yesu mwenyewe alifundisha neno. Baada ya kusema hayo niache wengine waamue Kama TB Joshua anayofanya ni ya Mungu au la.
 
napata shaka na Mtu anaetukana dini ya mwenzie

Sijui ni Mungu Gan aliye Ruhusu Matusi......?
 
Back
Top Bottom