Hatimaye TB Joshua afichua siri zake!

Hatimaye TB Joshua afichua siri zake!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,505
Reaction score
16,005
upload_2016-9-18_17-26-55.jpg
 
Ugalatia ni utapelitapeli tu, watu wanaaminiwa kuliko hata huyo Mungu utatu wao kuwa na miujiza! Mtihani sana kwakweli, Allah sw tunusur waja wako-wengi hawakujui kwa sifa zako!

Ukiwaacha na huo utapeli na upotevu katika imani yao,utakua umefanya jambo moja la maana sana kuliko kuwaingilia na kuwapangia ni nini cha kuamini na nini cha kutoamini,Wee omba kwa unayemuamini akutie nguvu katika imani yako na si kufuatilia imani za wengine kwani haitakusaidia chochote zaidi ya kukuletea mitafaruku.Nimeshauri tu bro.
 
Ugalatia ni utapelitapeli tu, watu wanaaminiwa kuliko hata huyo Mungu utatu wao kuwa na miujiza! Mtihani sana kwakweli, Allah sw tunusur waja wako-wengi hawakujui kwa sifa zako!
Jadili mada usi generalize. Nikukumbushe mada ni tb Joshua na sio ukristo wala uisilamu.
 
Kama alikuwa hajazaliwa huo utabiri aliusikiaje? Tumboni miezi 15 Hilo nalo linatosha kudhibitisha kuna tatizo hapo. Mimi ni Nani kuhukumu? Ila biblia inasema Yesu akikaribia kurudi kutakuwepo na wahuburi wa uongo. Je, hatuwaoni? Tafakari na omba Mungu akufunulie kuwajua hawa wanaojiita watakatifu for the sake of pesa.
 
Ugalatia ni utapelitapeli tu, watu wanaaminiwa kuliko hata huyo Mungu utatu wao kuwa na miujiza! Mtihani sana kwakweli, Allah sw tunusur waja wako-wengi hawakujui kwa sifa zako!

njoo hapa TOROKA UJE KIMARA KOROGWE uje kula kitimoto na castle lager acha undezi
 
Ugalatia ni utapelitapeli tu, watu wanaaminiwa kuliko hata huyo Mungu utatu wao kuwa na miujiza! Mtihani sana kwakweli, Allah sw tunusur waja wako-wengi hawakujui kwa sifa zako!
Dini zote za vitabuni ni utapeli.

Hakuna Ugalatia wala Uyahudi wala Uislamu.

Zote Kamba tupu.

Ndiyo maana unaambiwa ni mambo ya Imani, uamini au uache, hutakiwi kuchunguza sana.

Ukichunguza sana utajua ukweli.
 
Kumbe hadi magazeti ya dini yanakuwa na Heading za kishigongo shigongo? Tukifungia maandazi watatulaumu?
 
U
Dini zote za vitabuni ni utapeli.

Hakuna Ugalatia wala Uyahudi wala Uislamu.

Zote Kamba tupu.

Ndiyo maana unaambiwa ni mambo ya Imani, uamini au uache, hutakiwi kuchunguza sana.

Ukichunguza sana utajua ukweli.
umeanza vibaya ukamalizia vizuri. Dini ni imani hivyo huwezi kusema ni utapeli. Kama huna imani huo ni uamuzi wako na Kama kuna mwenye imani ni uamuzi wake. Dini ni kitu kizuri lakini nikiri kuwa kuna wahuburi wa uongo ambao ni wengi tu.
 
Back
Top Bottom