Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Walikua wanapora wapi? Ina maana Mengi alikua na uchungu na nchi kumzidi Julius Kambarage Nyerere?Mengi alikuwa na hasira nao kutokana na tabia yao ya uporaji wa waziwazi wa raslimali za nchi!
Walikua wanapora wapi? Ina maana Mengi alikua na uchungu na nchi kumzidi Julius Kambarage Nyerere?Mengi alikuwa na hasira nao kutokana na tabia yao ya uporaji wa waziwazi wa raslimali za nchi!
Kundi maalum hilo Mkuu.Aiseeeee !!!!
Dah!..kitambo sana, maisha ni safari.Mzee Mengi anazungumza kwa 'metaphor' amewataja mafisadi papa ambao ni dam dam na JK, kwa lugha nyingine Mengi amemtaja JK kama mlinzi wa mafisadi papa,
aminini msiamini, this time kibao kinamgeukia Mengi, lets wait and see.
Japo Mengi ni Mafia, mapapa ni mamafia na JK nyuma yao!.
Aiseeeee !!!!
Dah!..kitambo sana, maisha ni safari.
Dah!! Hivi umekaa nyuma ya keyboard for 10+ years? Ukisubiri nini? Kweli wewe ni mkongweHuyu ndiye aliyekuwa mweka hazina wa kamati ya mtandao wakati wa kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa CCM yeye ndiye alikuwa anakusanya na kusambaza mabilioni yaliyotumika katika kuhonga wajumbe ili kununua kura za kumbeba jamaa ili aingie IKULU.
Dah!!hivi umekaa nyuma ya keyboard for 10+ years?ukisubiri nini?Kweli wewe ni mkongwe
Apologies....🙇♂️🙇♂️🙇♂️Wewe nani humu unipangie muda wa kuwepo hapa? Hunijui sikujui huo ukongwe ulionibambikia umeutoa wapi?