Hatimaye Subhash Patel amvaa Reginald Mengi

They need to learn from Chenge! Arrogance is a man's downfall.. dili kusoma nyakati and laying super low...
 
Yale yale, mwizi anamfukuza mwenye mali na kumpa kibano. Anataka aombwe radhi? Kweli hawa wamechoka kwelikweli. Wamejipeleka wenyewe mahakamani, yote yatajulikana huko.
 
Pekundu ndipo paliponishtua. Wengi naona hawapasomi au mimi ndiye nasoma visivyo?
 
No no no no no hapana huyu bwana hajapata kuwa mweka hazina wa mtandao hata siku moja ila ni rafiki mkubwa wa tangu utotoni wa muungwana.

Ni mfadhili mkuu wa Bwagamoyo. Kama kweli kafungua kesi bila shaka wala ubishi imebarikiwa na muungwana
 

Pasco, huo ndio ukweli lakini tunapaswa kusimama na Mengi na kumsupport mpiganaji mwenzetu. Subash na JK ni uji na mtoto hilo halina maswali mpaka kesho
 
Pekundu ndipo paliponishtua. Wengi naona hawapasomi au mimi ndiye nasoma visivyo?


Usitishike mkuu, hiyo ni move ya makusudi kaamua kufanya huyu ponjolo. Si umeona jinsi Mengi alivyosakamwa kuwa katumia vyombo vyake vya habari wakati ile press conference vyombo vingi vya habari vilikuwepo? Sasa fanya hivi kwa sababu redio uhuru ni tawi la mafisadi (CCM) wameshahabarishwa kuwa kuna kesi inakuja fidia itakapoamuliwa itolewe wao watakiri na kulipa(malipo hewa). Nani atafuatilia? Ponjolo atatoka na kusema Uhuru wameshalipa inabaki ngoma kwa hao wengine. Na kutokana na post nilizosoma huko juu lolote linaweza tokea. Ole wetu wabongo. TWAFAAAAA!
 

I hope kuna wazalendo who are supporting Mengi behind the scenes. Hizi wiki zijazo kuna dalili za michezo michafu sana!
 

Ukiona karibu mega projects zote za construction zinye kapata local funds zinatolewa kwa kampuni moja tu, huwa napata mashaka. Ina maana we dont intend to deliberate help other companies to grow? Kama hela zote hawa wahindi wanazipeleka nje, sisi kama nchi tunanufaika na nini? Nijuavyo kuna hela nyingi sana kwenye hizi projects, na leo sehemu ambazo uchumi unaonekana una shrink ni kwasababu construction industry imeyumba, mfano UK na Spain.
Tuwaangalie hawa Estim kwa makini. Majuto mjukuu eeh
 
Kweli tuna budi kumpongeza mzee wetu Reginald mengi kwa uchuja wake. Mzee mengi hoyeeeee.

Hawa wahindi na wa Iraqi wamezidi kutunyanyasa kwenye nchi yetu na kutuibia pesa yetu ya jasho. Niulize nani hasa mtanzania anaweza kwenda india, pakistan au hata huko Iraq au Iran kwa mbunge, mfanyabiashara mkubwa? It will never happen na actually it is impossible lakini kwetu bongoland wanafanya wanavyo taka na hasa katika awamu ya Mkapa.

Huyo Mkapa ni wa kumnyonga kabisa asionekane kabisa. Kuna siku tuu hawa wahindi watafanyiwa kama jinsi iddi amini dada amewafanyia huko Uganda tena imekwa vema sana kwa sababu hawa watu wanaoita wahindi awana busara kabisa.

Mzee mengi tuko nyuma yako tunasubiri hatoa ya serikali hii ya Kikwete kama atachukua hatua unless na yeye ni fisadi mkubwa.
 

Pasco, huo ndio ukweli lakini tunapaswa kusimama na Mengi na kumsupport mpiganaji mwenzetu. Subash na JK ni uji na mtoto hilo halina maswali mpaka kesho
 
Pekundu ndipo paliponishtua. Wengi naona hawapasomi au mimi ndiye nasoma visivyo?

I hope kuna wazalendo who are supporting mengi behind the scenes.hizi wiki zijazo kuna dalili za michezo michafu sana!


Unaweza kuwa sahihi, lakini matumaini (hopes) yanawezekana kwa Mwenyezi Mungu tu naye ni kwa sababu katuficha hayo yajayo. Kwa wanadamu ni kazi bure. Wazalendo ni kweli wapo Dr. Slaa na Mengi lakini wanapata nini kwa uzalendo wao? Kuzomewa na kukashifiwa. Watu hata hawajiulizi kama hawa wangeamua kukaa kimya na kufaidi matunda ya nafasi zao taabu kwao ingekuwa wapi?

Halafu kuna wazalendo wa msimu na hapa unawaingiza yule mkuu wa upinzani bungeni (Rashid?) na Zitto kabwe, sasa watu kama hawa huwezi kuweka matumaini kwao hawajui wafanyalo ni kutafuta sifa tu!
 
- Yaaani fisadi papa aombwe radhi na wananchi kwa kuwa na ushaidi wa ufisadi wake? Hawa wezi kweli wana kiburi sana hawa, hivi wanakitoa wapi hiki kiburi?

FMES!

Hebu tushawishini kuwa hiki kiburi kinatokan kwa mtu mwingine zaidi JK!
 
Wewe, Estim Construction ni ya Subash? Basi nimenyoosha mikono!
 
Nachoshindwa kuelewa mimi ni..................

a]Mnajua kama hawa majamaa ni mafisadi papa,hakuna anayebisha....
b]Mkuu wa kaya ni mtu wao,hakuna anayebisha.....
c]Hii mifisadi papa hata iende mahakamani haitashindwa,hakuna anyebisha.......
Kwanini mnaendele kupiga kelele zisizokuwa na msingi?
coz kwangu ni kama kulipiga jiwe unalojua halisikii........ni unapoteza muda wako tu kwami jiwe halisikii maumivu yoyote right........

Nionavyo mimi ni kuitisha mgomo wa nchi nzima kuanzia mtoto wa shule ya msingi mpaka maofisi yote ya serikali.......
kwangu that is the best solution rather than kupiga kelele mafisadi,mafisadi...................tushajua ndio sasa...............
 

Mbona na wewe unaturudisha kulekule kwenye kwamba "hakuna anayebisha"
Ukiitisha mgomo utapata watu wachache sana, hakuna anayebisha...
sasa kama hubishi kuwa mgomo wako hautaitikiwa ukaishi kuwa wewe mkeo na watoto wenu kumi na wawili utaitaje hii kuwa solution?
 
Kama ni hivyo basi, kama nilivyo kuelewa mimi kwamba hatutopata watu wengi it means kwamba hili swala halijatuathiri kiasi cha kutosha, kiasi cha watz kushituka......
So we need more tym kwa sisi kujua kama tunaibia na kuanza kuchukua hatua....
Hatuna haja ya kupigana nalo kwa sasa coz halijatuathiri......
 
huyu shubash anahusika na mambo ya kusupply jeshi? na Je Manji naye anahusika na mambo ya kusupply jeshi?
 

radio uhuru si ndio ya wateteaji wa ufisadi au ulitaka sema radio one!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…