Jana tarehe 30 april Ndg Subhash Patel kupitia kwa wakili wake Julius Lugazya kawafungulia kesi wahariri na magazeti yao ya nipashe na guardian,wakurugenzi wa radio uhuru na ITV pamoja na mwenyekiti wao Mengi kwa kashfa za kumuita fisadi papa na kudai alipata mchuchuma kwa mizengwe.Anawataka waombe radhi ndani ya siku saba na wamlipe fidia ya shs bilioni kumi
Kweli, labda sasa tutaanza kuona episode mpya kwenye hii sinemai love this.. finally wanatupa kitu cha kufanya maana maneno yamekuwa mengi kweli (pun intended).
No no no no no hapana huyu bwana hajapata kuwa mweka hazina wa mtandao hata siku moja ila ni rafiki mkubwa wa tangu utotoni wa muungwana.Huyu ndiye aliyekuwa mweka hazina wa kamati ya mtandao wakati wa kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea wa CCM yeye ndiye alikuwa anakusanya na kusambaza mabilioni yaliyotumika katika kuhonga wajumbe ili kununua kura za kumbeba jamaa ili aingie IKULU.
hawa jamaa inaonekana hawana pa kuchomokea na ni wagumu kweli wa kuelewa Mengi alishasema kuwa kama wanaona kuwa wamesingiziwa basi waende mahakamani na sio kumwomba Mengi awaombe msamaha
na lazima wawe wanaogopa kwenda mahakamani kwani kufungo njenje kwani kibao kitawageukia tu
Ushkaji gani wa kujengeana mahekalu?? Sometime inachosha..Subash... ndio aliemjengea JK hekalu la pale bagamoyo... ni mshkaji wake walisoma wote primary...
Subash... ndio aliemjengea JK hekalu la pale bagamoyo... ni mshkaji wake walisoma wote primary...