Kwani waliwashikia bunduki kuzitumia!....mabeberu hawatupendi
Kwahiyo mkuu wewe unapata shida gani mtu akiamua juu ya mwili wake.Haya maisha bwana, ukienda kwa Mwamposa kuna wanaofunga na kusali wapate watoto wakati mtaani kuna wanao wa flash na Misoprostol
P2 zinasaidia sana hasa kwa hawa watoto wa shule, Serikali haiwatakii mema hawa watoto
Ushauri wako ni upi sasa bwana mboga..??wanachotaka ni kusababisha mimba kuwa nyingi mtaani,vijana wengi kuishia jela na ongezeko la watoto wa mitaani..
kibaya zaid ni izo dawa kutupandishia bei maana sasa iv tunanunua 20k sa si zitauzwa hadi 80k
Imagine anaenda pharmacy zote anaambiwa P2 hamna wakati alishajihakikishiaInabidi tukazane sana kuongea na wanafunzi..,.